Mtoto wa Muna Love anasumbuliwa na nini?

The Transporter

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
3,580
Reaction score
7,203
Toka jana na leo asubuhi hizi taarifa zimezagaa sana. Tunambiwa mtoto anaumwa yupo Nairobi na kwa namna moja au nyingine nimeguswa ila mpaka sasa sijafahamu huyu mtoto anasumbuliwa na nini.

Mwenye kufahamu tafadhali atujuze
 
Ingia kwenye page ya Zamaradi Mketema kuna mchango kule anapitisha hivyo unaweza kuchangia kile ulichoguswa na kujua mawili matatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…