Mtoto wa Muna Love anasumbuliwa na nini?

Mtoto wa Muna Love anasumbuliwa na nini?

Alikua muigizaji.. Mtu wa kuandaa matamasha..Dada wa hiyari wa Elizabeth Michael.. Rafiki wa wema n muuza ngada mzuri tu kabla hajaokoka
Hapa ndipo naipenda jf tutakujua tu

Kwenye uuzaji wa ngada hapo tunashukur kumjua vizur tuwape hongera waanzilishi wa huu mtandao nashangaa serikali inataka kuufunga wakat ni chanzo kizur cha habar.
 
Alikua shoga ake wema sepetu.....akamwibia chupi yake akapeleka kwa mganga wakagombana ...na umaarufu ukaongezeka...anayejua zaidi ataongezea me najua hivyo tu
Hahahaaa
 
Kuna sehemu nimesoma wanadai kijana baba wa mtoto huyo kakolezwa na mahaba ya mrembo mkali hana hata habari mtoto yuko hospitali ni bata tu.
 
Alikua muigizaji.. Mtu wa kuandaa matamasha..Dada wa hiyari wa Elizabeth Michael.. Rafiki wa wema n muuza ngada mzuri tu kabla hajaokoka
Hivi ndio huyu alikuwa anasimamia wasanii akiwa kama manager? Kuna mwanamuzki fulani hivi wa singeli,Nilimuona analalamika EATV kuwa anajitoa kusimamiwa na huyo mdada kwa kuwa anambania penzi yeye mtu mzima huku akiwatunukia watoto wadogo kama dogo janja na yule mwingine aliyeimba bongo bahati mbaya
 
Muna alikuwa muigizaji wa tamthilia za Itv na kina mzee Masinde na wengineo kipindi hicho cha juma
Alipoacha alipotea kwenye ulimwengu wa waigizaji lkn aliibuka paaaaap akiwa anamkwanja mrefu na kuanza kugawa dola 100 kwa kila anayekubali kuchora tatoo ya jina lake
Mtoto wake inasemekana anaumwa kichwa sana
Japo mwanzo aliugua mguu ktk mazingira ya ajabu mpk kutaka kupelekea akatwe mguu mpk Muna akaamua kuokoka na ghafula akapona pia ghafula
 
shusha nondo
 
Duh hope atapona. Naombea apone pia muna ajifunze kumuweka mwanae mbali na mitandao. Sio wote wanaopenda mafanikio ya wenzao.
Evil eye is real, huwa tunakumbushwa tuwe makini na kile tunachoshare kenye social media, lakini si kila mja ni msikivu, We mwanao unamvisha vitu vya thamani kisha wamweka kwa mtandao, anaemtazama upande wa pili si mtoto wake tu bali yeye mwenywe hana hivyo anavyovyiona, people become jelous
 
Tena Baba mtoto anakula raha tu na Tunda
Nashindwa kuchangia nabaki kusoma tu,maana Casto namjua vizuri mno yaani mno,ni mshikaji Wangu sana bila acha nibaki msomaji
Huyo Munna (anayedaiwa ni Celebrity) anakosa kadi ya bima ya afya ya ku-cover matibabu Nairobi? Sembe kumbe hailipi.
**apige mnada ile midhahabu na migari anayopigia picha.
Asee ,nadhani wa bongo wengi BIMA ni tatizo
 
Back
Top Bottom