Mtoto wa Muna Love anasumbuliwa na nini?

Mtoto wa Muna Love anasumbuliwa na nini?

Hatuko nae tena uyu mtoto
M/Mungu amlaze mahala Pema Peponi
Screenshot_20180703-203620.jpg
 
Jaman amefariki??? Dah too young sema muda ushafika hauwez kupingana na ahadi ulioandikiwa sote tutakufa kutangulia kugum sana pole muna na familia kwa ujjmla
 
When you were born, you cried and the world rejoiced. Live your life in a manner so that when you die the world cries and you rejoice.. Rest In Peace Patrick
 
Alikua shoga ake wema sepetu.....akamwibia chupi yake akapeleka kwa mganga wakagombana ...na umaarufu ukaongezeka...anayejua zaidi ataongezea me najua hivyo tu
Duuuhhhh unafaa kuwa mtangazaji
 
Babaake wa mtoto aliyefariki ni huyu Casto Dickson
Screenshot_20180703-220102.jpg
 
From Mother to Child in collaboration with the unknown ' Viruses '.
Ukiniuliza marehem alikua anasunbuliwa na nn ntakujbu Naona HIV


Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe
 
Nakuelewa sana mkuu since day one, haujuag kuyumbisha maneno,
Haujuag kuish unafik, sasa ao wanaoluka luka kama wacheza visingeri waache waendelee tu

Na ndivyo nilivyo na nitakavyokuwa daima Mkuu. Mijitu inatutambia kila Kukicha Mitandaoni ikijifanya ina maisha mazuri na inajiweza halafu leo tunaletewa ' Upuuzi ' wa Kuwachangia. Sijafurahishwa kwa Kifo cha Mtoto Patrick na naungana na wengine wote katika Kumuomboleza ila ujumbe wangu ni mdogo sana kwamba tuacheni kuishi maisha ya Kaole / Maigizo na tujifunze kuwa ' Simple ' tu maishani ila hata kama ikitokea siku una shida au tatizo Watu wanakuwa wepesi kama siyo kuguswa Kukusaidia.
 
Back
Top Bottom