Mtoto wa Muna Love anasumbuliwa na nini?

Wasanii wa Tanzania ni wanafiki walio tukuka..
 
Alikua muigizaji.. Mtu wa kuandaa matamasha..Dada wa hiyari wa Elizabeth Michael.. Rafiki wa wema n muuza ngada mzuri tu kabla hajaokoka
JF idumu....yani wewe ulieandika hapa unaweza ukawa ndo hao akina lulu...au the closest friend ...

Hahahaha...

Long live JF.
 
Toka jana na leo asubuhi hizi taarifa zimezagaa sana. Tunambiwa mtoto anaumwa yupo Nairobi na kwa namna moja au nyingine nimeguswa ila mpaka sasa sijafahamu huyu mtoto anasumbuliwa na nini.

Mwenye kufahamu tafadhali atujuze

Kwani huyo Muna Love nae kwa muda mrefu amekuwa akisumbuliwa na Ugonjwa gani labda? Tuanzie hapa Kwanza.
 
Kama alikuwa muuz Ngada ana akaharibu watoto wa watu wengi na vilio vya wazazi vikafika kwa THE MOST HIGH then lazima laana ya ule unga mweupe urudi nyumbani.....Utaokoa yes...But you will have to pay dearly kwa yote hayo....Sababu sidhani kama aliwaomba msamaha hao wazazi....
Paul alikuwa mkatili akiua wakristo kila kona Yesu akamuokoa akahubiri injili
But nae mwisho akakatwa kichwa......
 
Insta zimejaa picha za misherehe ya gharama sijui birthday sijui nn ila Leo hii tunapeana akaunti tuchangie matibabu as if na sisi tukiumwa anatuchangiaga. Tusichoshane

Nitawadharau sana wale wote mtakaochangia chochote Kitu. Na ninavyojua Kiimani ukimsaidia au kumchangia Mtu mwenye dhambi za aina yake huyo Dada ni kutaka tu kujitafutia laana ya Milele kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Nashauri tu hizo Hela zote zikishakusanywa twendeni Kariakoo tukanunua Mahitaji muhimu kisha tugawe katika Vituo vyote vya Yatima nchini Tanzania.

Mtakaonichukia kwa hiki nilichoandika poa tu ila GENTAMYCINE sipendi Unafiki na kulea Ujinga / Ungumbaru kama siyo Upumbavu / Upopoma. Watu kila kukicha wanaturingishia maisha yao ya Kifahari huku wakitudharau na kutucheka Sisi Masikini / Makapuku halafu leo tena tuliodharauliwa tunahimizwa tuchangie.

Kuna muda huwa napata taabu kama siyo shida sana kuwaelewa Waswahili a.k.a Watanzania hadi kuwaonea huruma.
 

Game changer, Talented Feller, nakuelewa sana mkuu, na Naomba niseme machache.

"Money & Fame"
Hivi vitu huwa haviji kwa gharama nafuu, ni lazima vigharamikiwe na gharama zake ndiyo kama hizi tunazoambiwa leo hii tuchangie.

Huyo dada inasemekana ni mtu wa kupenda sana shiriki, mambo ya ndumba na pia inasemekana yalikuwa yanamsaidia kupitisha mizigo kwenye scanner bila kunyakwa na wahuska. (-)

Mara ameokaka, mara kawa vile. Anajua alichofanya na makubaliano aliyosaini huko kwa kina [HASHTAG]#mshanajr[/HASHTAG].

Apambane na hali yake tu..!
 
Hahaaha..
 
Popote ulipo tembelea hospitali ya mkoa wako ukawaone wahitaji halisi wasiojua lini na nini ni hatima yao, wasiomudu hata gharama ya panadol tu! Wanaoshindwa kumudu gharama ndogo tu za hospitali chakavu za serikali, wasiokuwa na uhakika wa milo mitatu kwa siku. Kampeni hizi za kuchangia wahitaji ningezielewa sana kama zingewalenga wahitaji halisi na si hawa wanaotutambia kila siku mitandaoni kwa magari, majumba, mavazi, cheni na hereni za thamani.
Japokuwa kutoa ni hiyari lakini ni vema tukakumbushana:- Wapo watu wenye uhitaji wa kweli wa huo msaada wako tafadhali usiwapite maana hao ndiyo waliobeba baraka zako.
 
Insta zimejaa picha za misherehe ya gharama sijui birthday sijui nn ila Leo hii tunapeana akaunti tuchangie matibabu as if na sisi tukiumwa anatuchangiaga. Tusichoshane
Mimi msanii sitoi hata mia yangu ntasaidia wengine ila sio hao wasanii, Mtu leo anajinadi anaingiza milioni kwa siku, kesho kategua Mgongo anakuja kulia lia hela akatibiwe huu ni Ujuha
 
Alikua shoga ake wema sepetu.....akamwibia chupi yake akapeleka kwa mganga wakagombana ...na umaarufu ukaongezeka...anayejua zaidi ataongezea me najua hivyo tu
Duh aisee
Kaaazi kweli kweli
 
True
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…