Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,237
Kwanini wewe ni mteja wa ngada mpaka umjue? Mbona inajulikana kuwa alikuwa muuza ngada Kitambo tuHiyo ngada anauzia wapi mbona mi simjui labda kama alikuwa anauzia chato huko
Nimepush sana mzigo kuanzia 2013 till now,sijawahi kumjuaKwanini wewe ni mteja wa ngada mpaka umjue? Mbona inajulikana kuwa alikuwa muuza ngada Kitambo tu
Kwa hiyo unawajua wauza ngada nchi nzima?Nimepush sana mzigo kuanzia 2013 till now,sijawahi kumjua
Ndo watoto gani hao,sijakuelewaNawaangalia watoto wa Mzee wa " I can, I must" na Marehem napata funzo kubwa sana.
Mzee wa Super brandNdo watoto gani hao,sijakuelewa
Watoto wa mengi,hapo kuna funzo gani nifunze na mimiMzee wa Super brand
Mambo mengine huwa haya semwi hadharani, ni totally unethical, yaaani siku ya kiama ni issue...Watoto wa mengi,hapo kuna funzo gani nifunze na mimi
Oi mzee wa wu tang ,album gani ya Killa priest unaielewa,hebu nichane hilo funzo inboxMambo mengine huwa haya semwi hadharani, yaani ni unethical, yaaani siku ya kiama ni issue...
Wema ndio nani?alikua mbeba pochi wa wema
Wema ndio nani?
Muna love ndio nan???
Nikiviangalia vile twinz navionea huruma sana, najua kitakacho wapata, kama kilicho mfika kaka yao.........ila mimi acha niendelee kuwa maskini ila nizeeke na watoto wangu wote niliowaleta
umenena mkuu.Popote ulipo tembelea hospitali ya mkoa wako ukawaone wahitaji halisi wasiojua lini na nini ni hatima yao, wasiomudu hata gharama ya panadol tu! Wanaoshindwa kumudu gharama ndogo tu za hospitali chakavu za serikali, wasiokuwa na uhakika wa milo mitatu kwa siku. Kampeni hizi za kuchangia wahitaji ningezielewa sana kama zingewalenga wahitaji halisi na si hawa wanaotutambia kila siku mitandaoni kwa magari, majumba, mavazi, cheni na hereni za thamani.
Japokuwa kutoa ni hiyari lakini ni vema tukakumbushana:- Wapo watu wenye uhitaji wa kweli wa huo msaada wako tafadhali usiwapite maana hao ndiyo waliobeba baraka zako.
oh.....Mfungaji bora katika kombe la dunia Rashia
Mmmh huku mbali umefika sasa mbona vile vitwinz vina unasaba sana na mzee I can?hebu kavichunguze tenaNikiviangalia vile twinz navionea huruma sana, najua kitakacho wapata, kama kilicho mfika kaka yao.........ila mimi acha niendelee kuwa maskini ila nizeeke na watoto wangu wote niliowaleta