Mtoto wa Muna Love anasumbuliwa na nini?

Mtoto wa Muna Love anasumbuliwa na nini?

Nikiviangalia vile twinz navionea huruma sana, najua kitakacho wapata, kama kilicho mfika kaka yao.........ila mimi acha niendelee kuwa maskini ila nizeeke na watoto wangu wote niliowaleta

Ulimuelewa uliye mquote kweli au umetoa hitimisho lako tu? sidhani kama ndicho alichotaka kukisema ndugu joshua hapo juu.....
 
Popote ulipo tembelea hospitali ya mkoa wako ukawaone wahitaji halisi wasiojua lini na nini ni hatima yao, wasiomudu hata gharama ya panadol tu! Wanaoshindwa kumudu gharama ndogo tu za hospitali chakavu za serikali, wasiokuwa na uhakika wa milo mitatu kwa siku. Kampeni hizi za kuchangia wahitaji ningezielewa sana kama zingewalenga wahitaji halisi na si hawa wanaotutambia kila siku mitandaoni kwa magari, majumba, mavazi, cheni na hereni za thamani.
Japokuwa kutoa ni hiyari lakini ni vema tukakumbushana:- Wapo watu wenye uhitaji wa kweli wa huo msaada wako tafadhali usiwapite maana hao ndiyo waliobeba baraka zako.
umenena mkuu.
 
Vwanja vya Leaders Club ndo iwe "Neutral Ground" vinginevyo wataparurana #teamBiNUNGU# vs #teamKOMU#
 
Nikiviangalia vile twinz navionea huruma sana, najua kitakacho wapata, kama kilicho mfika kaka yao.........ila mimi acha niendelee kuwa maskini ila nizeeke na watoto wangu wote niliowaleta
Mmmh huku mbali umefika sasa mbona vile vitwinz vina unasaba sana na mzee I can?hebu kavichunguze tena
 
Back
Top Bottom