Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipi kibaya au kipya hapo amekisema huyo mtoto wa Museven?
Suala la nchi za Afrika kutakiwa kuungana ndio wazo lililokuwepo tangu miaka ya 1960s tena likipiganiwa na kina Nyerere, Kwame Nkuruma, Nelson Mandela, Kenneth Kaunda, Patrice Lumumba. Kipi cha ajabu?
Lengo la Afrika kuwa nchi moja lilipoletwa upya miaka ya 2000s na rais wa Libya (Ghadaf) mbona wengi tuliliona la kishujaa. Kwanini leo likisemwa na mtoto wa Museven tunaona ni ukichaa?
Lengo la uwepo wa Jumuiya ya Afrika mashariki kihistoria lilikuwa ni kuja na nchi mmoja katika ukanda huu. Nini kipya au Kipi cha ajabu?
Kuna ubaya gani kwa yeye kutoa maoni yake kuhusu baba yake kufaa kuwa rais wa Afrika mashariki ikiwa nchi za ukanda huu zikiungana? Nyinyi mnataka Samia, Kagame, Ruto au nani aje awe rais?
Baba yake wamuongezee ulinzi aweza ya baba yakeHuyu atakuja kumpindua mzee wake.
FALSAFA ZA MWL. NYERERE ZINAIBUKIA KWA KASI KWA KIJANA HUYU, LAKINI AFAHAMU NDILO LENGO KUU YAANI KUELEKEA HUKO LAKINI SI KWA HARAKA NAMNA HIYO.Mkuu wa zamani wa Jeshi la Ardhini la Uganda Muhoozi Kainerugaba ambaye pia ni Mtoto wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni, leo October 19,2022 amerejea tena kauli yake ya kuwahamiza Vijana wa Afrika Mashariki kuunga mkono hoja yake ya kutaka Nchi za Afrika Mashariki ziungane na kuwa Taifa moja.
“Vijana wenzangu wa Afrika, nikiwa kama Kiongozi wenu ambaye mmenichagua wenyewe, nawahimiza kuuona umuhimu wa kushinikiza kwa haraka muungano wa Nchi za Afrika Mashariki, huu ni mpango wetu mdogo wa kisiasa, mipango mingine nitawapa mwongozo”
Itakumbukwa October 04,2022 Muhoozi alisema ameongea na Baba yake Rais Museveni kuhusu mpango wa kuifanya Afrika Mashariki kuungana na akasema mipaka iliyopo iliwekwa na Wakoloni na hakuna haja ya kuendelea kuiacha badala yake Nchi za Afrika Mashariki zinapaswa kuifuta mipaka hiyo na kutengeneza Taifa moja huku akisema Afrika Mashariki ikiwa Taifa moja anapendekeza Baba yake Museveni ndiye awe Rais wa Muungano huo.
Kauli ya Muhoozi inakuja siku mbili tu tangu Baba yake Rais Museveni aseme amemzuia Mtoto wake kuzungumzia Mataifa mengine au kuongelea siasa kupitia akaunti yake ya Twitter lakini jana Muhoozi alijibu kwamba yeye ni Mkubwa (sio Mtoto) na hakuna yoyote anayeweza kumpangia cha kufanya.
Credit: Millard Ayo UPDATES
Yeye anata nchi zikiungana, Rais awe Museveni na mkuu wa majeshi awe yeye mwenyeweKipi kibaya au kipya hapo amekisema huyo mtoto wa Museven?
Suala la nchi za Afrika kutakiwa kuungana ndio wazo lililokuwepo tangu miaka ya 1960s tena likipiganiwa na kina Nyerere, Kwame Nkuruma, Nelson Mandela, Kenneth Kaunda, Patrice Lumumba. Kipi cha ajabu?
Lengo la Afrika kuwa nchi moja lilipoletwa upya miaka ya 2000s na rais wa Libya (Ghadaf) mbona wengi tuliliona la kishujaa. Kwanini leo likisemwa na mtoto wa Museven tunaona ni ukichaa?
Lengo la uwepo wa Jumuiya ya Afrika mashariki kihistoria lilikuwa ni kuja na nchi mmoja katika ukanda huu. Nini kipya au Kipi cha ajabu?
Kuna ubaya gani kwa yeye kutoa maoni yake kuhusu baba yake kufaa kuwa rais wa Afrika mashariki ikiwa nchi za ukanda huu zikiungana? Nyinyi mnataka Samia, Kagame, Ruto au nani aje awe rais?
Utawala uliolaanika....Mkuu wa zamani wa Jeshi la Ardhini la Uganda Muhoozi Kainerugaba ambaye pia ni Mtoto wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni, leo October 19,2022 amerejea tena kauli yake ya kuwahamiza Vijana wa Afrika Mashariki kuunga mkono hoja yake ya kutaka Nchi za Afrika Mashariki ziungane na kuwa Taifa moja.
“Vijana wenzangu wa Afrika, nikiwa kama Kiongozi wenu ambaye mmenichagua wenyewe, nawahimiza kuuona umuhimu wa kushinikiza kwa haraka muungano wa Nchi za Afrika Mashariki, huu ni mpango wetu mdogo wa kisiasa, mipango mingine nitawapa mwongozo”
Itakumbukwa October 04,2022 Muhoozi alisema ameongea na Baba yake Rais Museveni kuhusu mpango wa kuifanya Afrika Mashariki kuungana na akasema mipaka iliyopo iliwekwa na Wakoloni na hakuna haja ya kuendelea kuiacha badala yake Nchi za Afrika Mashariki zinapaswa kuifuta mipaka hiyo na kutengeneza Taifa moja huku akisema Afrika Mashariki ikiwa Taifa moja anapendekeza Baba yake Museveni ndiye awe Rais wa Muungano huo.
Kauli ya Muhoozi inakuja siku mbili tu tangu Baba yake Rais Museveni aseme amemzuia Mtoto wake kuzungumzia Mataifa mengine au kuongelea siasa kupitia akaunti yake ya Twitter lakini jana Muhoozi alijibu kwamba yeye ni Mkubwa (sio Mtoto) na hakuna yoyote anayeweza kumpangia cha kufanya.
Credit: Millard Ayo UPDATES
M7 anamuonea aibu Nani?Nani kamchagua?? Huwenda wana agenda ya siri na baba ake afanye mapinduzi ya uongo kurithi kiti maana mzee anaona aibu kumuachia kiti cha urais
Uday sadam yule alikua nyoko jamaa alikula sana starehe mambo aliyoyafanya dah...[emoji42]Kuna movie moja limeelezea maisha yake ni hatariii.Inakumbusha habari za kina Uday na mwenzie Kusay!
aaaah muhozi anatutafutia lawama sisi wazee wa kilwa kivinje anyway aendelkez mdomo wake tutamfundisha namna ya kukaa kmyaMkuu wa zamani wa Jeshi la Ardhini la Uganda Muhoozi Kainerugaba ambaye pia ni Mtoto wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni, leo October 19,2022 amerejea tena kauli yake ya kuwahamiza Vijana wa Afrika Mashariki kuunga mkono hoja yake ya kutaka Nchi za Afrika Mashariki ziungane na kuwa Taifa moja.
“Vijana wenzangu wa Afrika, nikiwa kama Kiongozi wenu ambaye mmenichagua wenyewe, nawahimiza kuuona umuhimu wa kushinikiza kwa haraka muungano wa Nchi za Afrika Mashariki, huu ni mpango wetu mdogo wa kisiasa, mipango mingine nitawapa mwongozo”
Itakumbukwa October 04,2022 Muhoozi alisema ameongea na Baba yake Rais Museveni kuhusu mpango wa kuifanya Afrika Mashariki kuungana na akasema mipaka iliyopo iliwekwa na Wakoloni na hakuna haja ya kuendelea kuiacha badala yake Nchi za Afrika Mashariki zinapaswa kuifuta mipaka hiyo na kutengeneza Taifa moja huku akisema Afrika Mashariki ikiwa Taifa moja anapendekeza Baba yake Museveni ndiye awe Rais wa Muungano huo.
Kauli ya Muhoozi inakuja siku mbili tu tangu Baba yake Rais Museveni aseme amemzuia Mtoto wake kuzungumzia Mataifa mengine au kuongelea siasa kupitia akaunti yake ya Twitter lakini jana Muhoozi alijibu kwamba yeye ni Mkubwa (sio Mtoto) na hakuna yoyote anayeweza kumpangia cha kufanya.
Credit: Millard Ayo UPDATES
Mtu na babake wote hawana akiliYeye anata nchi zikiungana, Rais awe Museveni na mkuu wa majeshi awe yeye mwenyewe
Na mimi nimeona hivyo. Kainerugaba anadanganywa na akina PkAgenda IPI?ashughulike na afya ya akili yake Kwanza
Ndivyo akili zinamtuma. Huyu ni mtu mbaya sana anaweza kufanya lolote mradi tu ndoto yake hiyi itimie.Yeye anata nchi zikiungana, Rais awe Museveni na mkuu wa majeshi awe yeye mwenyewe
Naunga mkono hoja.Kipi kibaya au kipya hapo amekisema huyo mtoto wa Museven?
Suala la nchi za Afrika kutakiwa kuungana ndio wazo lililokuwepo tangu miaka ya 1960s tena likipiganiwa na kina Nyerere, Kwame Nkuruma, Nelson Mandela, Kenneth Kaunda, Patrice Lumumba. Kipi cha ajabu?
Lengo la Afrika kuwa nchi moja lilipoletwa upya miaka ya 2000s na rais wa Libya (Ghadaf) mbona wengi tuliliona la kishujaa. Kwanini leo likisemwa na mtoto wa Museven tunaona ni ukichaa?
Lengo la uwepo wa Jumuiya ya Afrika mashariki kihistoria lilikuwa ni kuja na nchi mmoja katika ukanda huu. Nini kipya au Kipi cha ajabu?
Kuna ubaya gani kwa yeye kutoa maoni yake kuhusu baba yake kufaa kuwa rais wa Afrika mashariki ikiwa nchi za ukanda huu zikiungana? Nyinyi mnataka Samia, Kagame, Ruto au nani aje awe rais?
EwalaaaThe Bahima empire
Hili ni jambo jema na heriMkuu wa zamani wa Jeshi la Ardhini la Uganda Muhoozi Kainerugaba ambaye pia ni Mtoto wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni, leo October 19,2022 amerejea tena kauli yake ya kuwahamiza Vijana wa Afrika Mashariki kuunga mkono hoja yake ya kutaka Nchi za Afrika Mashariki ziungane na kuwa Taifa moja.
“Vijana wenzangu wa Afrika, nikiwa kama Kiongozi wenu ambaye mmenichagua wenyewe, nawahimiza kuuona umuhimu wa kushinikiza kwa haraka muungano wa Nchi za Afrika Mashariki, huu ni mpango wetu mdogo wa kisiasa, mipango mingine nitawapa mwongozo”
Itakumbukwa October 04,2022 Muhoozi alisema ameongea na Baba yake Rais Museveni kuhusu mpango wa kuifanya Afrika Mashariki kuungana na akasema mipaka iliyopo iliwekwa na Wakoloni na hakuna haja ya kuendelea kuiacha badala yake Nchi za Afrika Mashariki zinapaswa kuifuta mipaka hiyo na kutengeneza Taifa moja huku akisema Afrika Mashariki ikiwa Taifa moja anapendekeza Baba yake Museveni ndiye awe Rais wa Muungano huo.
Kauli ya Muhoozi inakuja siku mbili tu tangu Baba yake Rais Museveni aseme amemzuia Mtoto wake kuzungumzia Mataifa mengine au kuongelea siasa kupitia akaunti yake ya Twitter lakini jana Muhoozi alijibu kwamba yeye ni Mkubwa (sio Mtoto) na hakuna yoyote anayeweza kumpangia cha kufanya.
Credit: Millard Ayo UPDATES
Mihela ikiwa mingi imejaa kila upande mtu anapata ujasiri wa kufanya chochote kile !! Anaamini kila kitu kinawezekana ! Lakini pia hoja yake ya muungano sio ngeni ilishaongelewa hata na akina hayati Baba wa Taifa na wenzie waliokuwepo enzi za uhai wao. !!Agenda IPI?ashughulike na afya ya akili yake Kwanza