Mtoto wa Museveni ana ajenda gani ya siri dhidi ya nchi za EAC?


You make a good point ila huyu dogo akili yake inadundadunda ni wa kumpuuza tu.
 
Huyu atakuja kumpindua mzee wake.
Baba yake wamuongezee ulinzi aweza ya baba yake

Kichwa chake kimeshapata moto.

Mzee akae naye mbali. Kana ana silaha kama pistol anyang'anywe na ikiwezekana baba yake ampeleke ofisi ya ubalozi mbali kama Amerika ya kusini au Ulaya au mashariki ya mbali bangi zake akavutie huko. Ni kama anavuta bangi huyo
 
FALSAFA ZA MWL. NYERERE ZINAIBUKIA KWA KASI KWA KIJANA HUYU, LAKINI AFAHAMU NDILO LENGO KUU YAANI KUELEKEA HUKO LAKINI SI KWA HARAKA NAMNA HIYO.
 
Yeye anata nchi zikiungana, Rais awe Museveni na mkuu wa majeshi awe yeye mwenyewe
 
Utawala uliolaanika....
 
aaaah muhozi anatutafutia lawama sisi wazee wa kilwa kivinje anyway aendelkez mdomo wake tutamfundisha namna ya kukaa kmya
 
Yeye anata nchi zikiungana, Rais awe Museveni na mkuu wa majeshi awe yeye mwenyewe
Ndivyo akili zinamtuma. Huyu ni mtu mbaya sana anaweza kufanya lolote mradi tu ndoto yake hiyi itimie.
 
Naunga mkono hoja.
Kuna wengi hawajui lengo la Jumuiya ya Afrika Mashariki ni mtangamano wa kuelekea nchi moja. Ijue Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Fursa za Mtangamano
P
 
Hili ni jambo jema na heri
Ijue Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Fursa za Mtangamano namuunga mkono huyu Mkuu wa zamani wa Jeshi la Ardhini la Uganda Muhoozi Kainerugaba ambaye pia ni Mtoto wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni, na akiona vipi, ampumzishe Baba, akamate usukuni a fast track mtangamano.

P
 
Huyu jamaa ni hatari kwa Ulinzi na Usalama wa nchi, nashauri achungwe sana na asipewe madaraka yoyote ili kuepusha kile kilichotutokea kutoka kwa Hitler.
 
Agenda IPI?ashughulike na afya ya akili yake Kwanza
Mihela ikiwa mingi imejaa kila upande mtu anapata ujasiri wa kufanya chochote kile !! Anaamini kila kitu kinawezekana ! Lakini pia hoja yake ya muungano sio ngeni ilishaongelewa hata na akina hayati Baba wa Taifa na wenzie waliokuwepo enzi za uhai wao. !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…