Mtoto wa Museveni ana ajenda gani ya siri dhidi ya nchi za EAC?

Huyo kalogwa na Waganda
Muhozi ni CHIZI mwenye HOJA.

Mawazo hayo alikuwa nayo Mwl Nyerere na amezikwa nayo, alipenda Afrika nzima ije kuwa Nchi moja.

Wengi kinachotutatiza ni uchu wa madaraka, kwamba tukiwa Taifa moja, CHAMA changu kitakuwa na nafasi Gani, au nimpendaye atapanda au kushuka!!!!!!!
 
Haswaaa. !!
 
Mu7 ni senior pande hii ya EAC !! 😅👍
 
Boya tuu huyo,mnahangaika na kichaa?
 
Baba yake Museveni ndiye awe Rais wa Muungano huo.
Ego is real enemy to us. He never satisfied to rule Uganda for 30+yrs,akitawala east Africa later atahimiza afrika ziungane ili awe raisi.bado akiwa raisi wa afrika atasema mabara yote yaungane Mana Ni ardhi moja tulitenganishwa due to pangea na sijui tectonic plates sijui zikafanyeje so tuwe kitu kimoja awe raisi wa dunia.
Akiwa raisi wa dunia bado hatoridhika atataka huko mbinguni pia na sayari zingine awe mkuu.


Ego is the enemy I can see na continue to trust. We never satisfied with what we have.
 
Naona wengi wanaponda bila jicho la kijasusi!!

Neno TANGANYIKA ni jumla ya nchi zote za Afrika mashariki,

"Ametumwa na Wenye jumuia hii kulisemea hilo"

Tusubiri utekelezwaji!!

Deep state ya Afrika mashariki inajua nini inafanya!
 
Huenda hapa ndipo pana njia ya kuwafungulia mlango waGanda wawe huru.

Kwa hiyo mtoto anataka Afrika Mashariki nzima iwe mali ya baba yake, kiUganda sasa kimekuwa kidogo sana kwao?
 
Nani kamchagua?? Huwenda wana agenda ya siri na baba ake afanye mapinduzi ya uongo kurithi kiti maana mzee anaona aibu kumuachia kiti cha urais
Mimi nilichiwaza ni kuwa anataka afukuzwe hiyo nafasi yake ili aje kugombea akiwa Raia.

Na ionekane kuwa hajabebwa na baba yake akishinda nafasi ya Urais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…