TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Yesu anakuja!
Yesu anakuja!
Kabla hujaisoma ulitarajia ikusaidie nini?taarifa yako inatusaidia nini mkuu
Very sad, kodi za masikini zinatumika vibaya sanaIla Africa uchawa umezidi sana
Ndio, nakujaYesu anakuja!
Inipe utajiriKabla hujaisoma ulitarajia ikusaidie nini?
Mbona hukusulubiwa ?Ndio, nakuja
Inasikitisha sana!Ndio, nakuja
Yaani Museveni anataka watoto wake wawe wakuu wa kila kitu. Yule taahira anaenda kuachiwa urais, huyu mwingine anakuwa Askofu Mkuu, yaani wanamiliki ulimwengu wa kimwili na ulimwengu wa kirohoNew Kibwetere in town.
Tutegemee kuchomwa Kwa watu zaidi ya buku Moja mnamo 2030.
Hahaha 😂Yaani Museveni anataka watoto wake wawe wakuu wa kila kitu. Yule taahira anaenda kuachiwa urais, huyu mwingine anakuwa Askofu Mkuu, yaani wanamiliki ulimwengu wa kimwili na ulimwengu wa kiroho
Nlisulubiwa miaka 2000's iliyopita kisha nikapaa kwenda kwa baba kama maandiko yasemavyoMbona hukusulubiwa ?
Unamjua yesu wa tongareni nchini Kenya?Nlisulubiwa miaka 2000's iliyopita kisha nikapaa kwenda kwa baba kama maandiko yasemavyo
Usadanganyike, Yesu n mm tuu 😎Unamjua yesu wa tongareni nchini Kenya?
Kuume kwa mungu baba umeketi, right?Usadanganyike, Yesu n mm tuu 😎