Mtoto wa mwenzio ni wa mwenzio tu, ukimlea usitegemee kurudishiwa fadhila

Mtoto wa mwenzio ni wa mwenzio tu, ukimlea usitegemee kurudishiwa fadhila

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,863
Ni watoto wachache hukumbuka wale waliowalea na kurudi nyuma, wengi wakishakua huanza kutafuta wazazi wao au wale wanaodhani ni ndugu zao sasa, na ni bora aishie kutokukukumbuka tu, wengine huanza kutangaza ubaya kua alikua anateswa.

Mnakua kwenye familia, ni wengi, wazazi hawachagui na pengine wanajinyima ili familia ishibe na ivae, hakuna ubaguzi wa watoto, ila mkishakua watu ndio wanajua kumbe wanandugu na wazazi wao.

Tenda wema, usingoje shukran. Ndugu lawama.
 
Back
Top Bottom