Mtoto wa My Girlfriend wangu hajatulia

kwa kuwa huna wa kukuambia kuhusu tabia za wanao,hayakuhusu ana babake huyo fanya kilichokupeleka.
hamna noma nitamchakachua tu na kutoongelea lolote kuhusu mwanawe
 
kha kumbe ni mpango wa kando??

Huna haya mwanaume wewe loooohh mtoto kazalisha mwingine wewe unalea?? Halafu hapo anapokuja kukutembelea ni wapi??

Mkeo anakuwa wapi?? Niweke sawa kwanza kwa hilo.

Sio unatuletea mchezo wa kuigiza hapa
 
Nyingi sheikh maana hata hips, utepe, nido aka hoteli ya mtoto na hata tukunyema zatengenezwa china sasa.
hawa jamaa noma kumbe hizo zilizopo mitaani zote ni za kuchakachuliwa?
 
hahahahahaaa hii ni nyumba ndogo yangu sio my wife wangu wa kunyumba

Nilipanga nikushauri jambo lakini nilipoona hapo tu kwenye bluu nikaahirisha ghafla. Anyway, tulia kwa nyumba kubwa uone kama hicho kitoto kitakukera tena.
 
kha kumbe ni mpango wa kando??

Huna haya mwanaume wewe loooohh mtoto kazalisha mwingine wewe unalea?? Halafu hapo anapokuja kukutembelea ni wapi??

Mkeo anakuwa wapi?? Niweke sawa kwanza kwa hilo.

Sio unatuletea mchezo wa kuigiza hapa
1.Bibie mie silei mtoto wa mtu kwa maana baba wa mtoto yupo na wanajuana wenyewe huko
2.Nina pango special la kudemulia kwahiyo mke wangu hakujui huko napokutana na huyu binti mwingine
 
Nilipanga nikushauri jambo lakini nilipoona hapo tu kwenye bluu nikaahirisha ghafla. Anyway, tulia kwa nyumba kubwa uone kama hicho kitoto kitakukera tena.
hamna shaka mkuu nitafanya hivyo
 
hawa jamaa noma kumbe hizo zilizopo mitaani zote ni za kuchakachuliwa?

Umesahau yule dada aliyeolewa na mchina kabeba mimba miezi 9 kujifungua tu mtoto akafa! dada wa watu nakawa analia kwa uchungu mwingi huku anasema " I knew it! I knew it!" wakamuu liza nini tena akawaambia I knew that cina product doesnt last longer!
 
hahahahaha noma kaka
 
Kwani ndugu ulitaka kuoa au ulikuwa unachakachua kwa lengo la kumiliki baadaye? Huwazi jua aliyekutangulia alikimbia nini wakati ndo mwenye mtoto seuse wewe mlaji wa msituni kama nguruwe anayekula shamba!
 
Aha ha,,,,,,,kumbe nyumba ndogo nazo chungu ehh! It Serves u right!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…