Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
- Thread starter
- #61
Toka nimemuoa huyu inkoskazi wangu cjawahi kulala nje kwasababu ya kimada,huyu my gelfrendi wangu namalizana naye kibingwa mchana,ucku nakuwa na my wife wanguBbaba wa kambo mwenyewe hajafunzwa maana angefunzwa asingemuacha mkewe analiwa na mbu anaenda kuhangaika na watoto wa wanaume wenzie:hatari: