Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
- Thread starter
- #41
Mpango ulikuwa kwa baadae kama mambo yatajipa basi nichukue jumla awe mke no 2 lkn huyu mtoto kashanitumbukia nyongo,mpango wenyewe nikauvunjilia mbaliKwani ndugu ulitaka kuoa au ulikuwa unachakachua kwa lengo la kumiliki baadaye? Huwazi jua aliyekutangulia alikimbia nini wakati ndo mwenye mtoto seuse wewe mlaji wa msituni kama nguruwe anayekula shamba!