Mtoto wa My Girlfriend wangu hajatulia

Mtoto wa My Girlfriend wangu hajatulia

Washawasha bana mrudie muumba wako utubu dhambi unayofanya mungu hapendi kabisa, yaani umekodi kabisa pango, ina maana wewe na dem wako mnakutania hapo,kwa nini usiende kwake kama uko peke yako kwake? au wanakuja tofautitofauti?
 
Kwenda kwa mwanamke noma bana,huwa nakwenda lkn cjickii raha
 
pole sana mkuu ndio ukubwa huo,we ukiona hanyooki basi achana naye huyo na tulia na my wife wako
 
Mshauri huyo Gf wako kuwa baada ya Miaka Kadhaa hako ka kinda hatakamatika
so anatakiwa kukafundisaha adabu mapema
akishindwa mpige stop
wewe kidume utatafutamwingine.
 
roho mbaya mbona wewe hujafa tokea juzi . Koroga hiyo sumu uionje test yake basi . Umenkera saaaaana

kama nimekukera fanya fanya na ww upate sumu yako y kunywa kabla hazijapanda bei ....
 
tupatie na tabia za mtoto wako basi mana huyo wa mwenzio unamdiss sana./////////
 
watu wengine bwana..sasa kama si mkeo vyakuhusu nini..kama umefwata starehe we concentrate na hiyo starehe,ya mwanae mwachie yeye.
pilipili usioila yakuwashia nini?hee!!vya ndani vimekushinda umetoka nje nako unataka kuingilia maisha ya watu.tulizana eother na mkeo au umwache mtoto wa watu hata kama kaharibika..siku zote mtu huwezi jua matatizo ya wanao,watu wa nje ndo wanajua,so usijipongeze eti wanao unawapeleka kijeshi hawana tabia hizo..yawezekana hawana hizo ila wana tabia nyingine mbaya kuliko za huyo mwana umsemaye..
FANYA KILICHOKUPELEKA
 
hivi huwa zinapandaga bei,ngoja niwahi kabla haijapanda:lol::lol::lol:

c unajua tena mfumuko w bei .....hah! kumbe ni ww wa hapo kw mama zakalia ukijiua na mimi najiua.km huamini jaribu uone km na mimi ctajiua.
 
Habari zenu za usiku huu wanajamvi,
Ni hivi mimi nina My girlfriend wangu ambaye teyari ana mtoto na jamaa mwengine,ila huyu mtoto wake hajatulia kwa kweli na huyu mama yake simuoni kuchukua hatua zozote kuhusu hilo anamdekeza sana bana mie inaniuma lakini nikumuambia anasema mie silipendi kinda lake hilo,
Siku moja nilikwenda na rafiki yangu kumtembelea yaani ilikuwa ni aibu mara kamsachi huyo rafiki yangu,mara kutoka nje kaanza kurusha mawe ndani,mara kachukua chupa ya konyagi tuliyokuwa tunakunywa na kupiga fundo moja,yaani ni maudhi kwa kweli kwenda kumtembelea na hata anapotaka kuja kunitembelea akiniambia anakuja na hilo kinda lake binafsi nakosa raha najua lazima atanitia aibu/hasara ya kuvunja vitu,
Kuna cku uzalendo ulinishinda nikamuambia kuwa huyu mtoto wako kwa kweli mie siikubali tabia yake yaani umemlea kama yai unaogopa lisipasuke,basi adhabu niliyopewa ni kunyimwa uroda miezi mitatu.
Naomba ushauri wenu wana jamvi nimfanyeje mama yake ili amrekebishe huyu mtoto wake?

Kwa nini unakula makombo?

Tafuta mwanamke ambaye hajazaa!
 
Kwa nini unakula makombo?

Tafuta mwanamke ambaye hajazaa!

hata akitafuta ambaye hajazaa ukweli ni kwamba atakuwa anakula makombo TU.mana huyo mwanamke atakuwa ni nyumba ndogo.
Na nyumba ndogo nao huwa wana watu wao permanent.so kazaa hajazaa MAKOMBO TU.
kama hataki makombo atulizane na mkewe.
 
Women are from Mars, Men from Venus........................................

Back
Top Bottom