Mtoto wa My Girlfriend wangu hajatulia

Kwani ndugu ulitaka kuoa au ulikuwa unachakachua kwa lengo la kumiliki baadaye? Huwazi jua aliyekutangulia alikimbia nini wakati ndo mwenye mtoto seuse wewe mlaji wa msituni kama nguruwe anayekula shamba!
Mpango ulikuwa kwa baadae kama mambo yatajipa basi nichukue jumla awe mke no 2 lkn huyu mtoto kashanitumbukia nyongo,mpango wenyewe nikauvunjilia mbali
 
Nachungulia 2 ciingii ndani jamani hamjambo nyote?
 
hatujambo.
Acha kuchungulia bwana.
Karibu kiti.
Kiti kitanivnja shngo manake nina ucngizi debe.vp h'ninyo inshu znasemaje pande za huko?mtoto wa mkeo/hawara ni mwanao sharti umkanye acha dharau eti MTOTO MY G FRIEND WANGU?bila shaka umeusahau ule usemi ukipenda UA sharti UPENDE na BOGA.
 
Nikimkanya naambiwa kuwa cmpendi
 
Embu tulia na mke wako huko!Mtoto wako umeshamkanya mpaka ukasaidie wa mwanaume mwenzako?
 
Embu tulia na mke wako huko!Mtoto wako umeshamkanya mpaka ukasaidie wa mwanaume mwenzako?
Sawa bibie nitatulia na my wife wangu,watoto wangu nashukuru wamenyooka kama rula.
 
Basi huyo mtoto atakua kma yai.ok ASIE FUNZA NA BABA WA KAMBO HUFUNZWA NA MALIMWENGU
Bbaba wa kambo mwenyewe hajafunzwa maana angefunzwa asingemuacha mkewe analiwa na mbu anaenda kuhangaika na watoto wa wanaume wenzie:hatari:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…