Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Inauma sana kama hupo mbali na hakuna lolote alafu unaona au kusikia kwenye mitandao ya kijamii fulani kajenga, kaoa na yeye sasa kasafiri.
Kinacho mfanya kuona aibu ni ubinafsi kipindi yupo huko alijiona ndio kafika tukashauri sana ndugu zake tuliopo mtambuka tufanye ushirikiano ila ndio hivo binadamu hata hapa viongozi nao wapo hivo hivo.
Mimi nawapongeza sana watu wa visiwani kwa umoja wenu ndio mnafanya nchi yenu kufika mbali ila huku bara ni husda ukishakuwa nje. Naletewa simu ya nokia tochi ananiuliza kuwa internet imeshafika ya 3g. kweli mtu huyu.