Hii story imetengenezwa ili watu waanze kujadili waliopo mamtoni na wala vumbi aka waturutumbi. Kuna mturutumbi mmoja kashauri kuwekeza bongo, hivi mtu yupo mamtoni awekeze bongo kweli?mnatuona mandezi sana eeh?? huo si upumbavu wa hali juu na anatafuta kuliwa tu. Watu mamtoni siku hizi wameshtuka wanawekeza bank ndio mpango mzima. Ujenge bongo ili waturutumbi waje wakudhulumu kua wewe sio raia...nyooo watu wanawekeza savings bank now, pesa inatulia, holiday Brazil, Cancun au Cuba. Jiji kubwaaaa Ka shopping mall kamoja tu Mlimani City na kila mtu anapeleka kinyeo chake pale, Mambo ya joto kali na hamna umeme wameshayachoka.Jengeni nchi kwanza tutakuja huko Inshaallah.