Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
India kuna nini?,hebu tiririka mkuuUongo mtupu, angekuwa India angejuta ila sio marekani
Sijui kama anaelewa USA kuna maeneo watu wanalala nje na madarajaniIndia kuna nini?,hebu tiririka mkuu
Kwakuwa wewe ni Kaka yake shetani basi Mimi sina la kuongeza.Inauma sana kama hupo mbali na hakuna lolote alafu unaona au kusikia kwenye mitandao ya kijamii fulani kajenga, kaoa na yeye sasa kasafiri.
Kinacho mfanya kuona aibu ni ubinafsi kipindi yupo huko alijiona ndio kafika tukashauri sana ndugu zake tuliopo mtambuka tufanye ushirikiano ila ndio hivo binadamu hata hapa viongozi nao wapo hivo hivo.
Mimi nawapongeza sana watu wa visiwani kwa umoja wenu ndio mnafanya nchi yenu kufika mbali ila huku bara ni husda ukishakuwa nje. Naletewa simu ya nokia tochi ananiuliza kuwa internet imeshafika ya 3g. kweli mtu huyu
Wewe uliyopo DSM unaishi kama hupo kibiti tukuulizeMarekani au yupo hapa dsm?
Hongera kwa PhDKwakuwa wewe ni Kaka yake shetani basi Mimi sina la kuongeza.
Ugumu wa maisha wa Marekani siyo sawa na Tanzania unajidanganya mwenyewe.
Watanzania wengi ambao bado hawajapata green card au hawana makaratasi huwa wanaogopa kutoka Marekani maana hautoruhusiwa tena kukanyaga Marekani na mtu Bongo hana mishe yoyote na maisha ya Marekani ni land of opportunity.
Hizo zingine ni beef zako tu au hasira za kutoswa viza na consular Sasa hasira zako unazihamishia Kwa wabeba mabox.
Hapana dsm Maisha mazuri Sana sio Kama kibiti.Wewe uliyopo DSM unaishi kama hupo kibiti tukuulize
Thanks, I appreciate.🙏🙏Hongera kwa PhD
Kumbe title ulishaibadilisha
Sasa kama sio kibiti USA kwa nini unafananisha na DARHapana dsm Maisha mazuri Sana sio Kama kibiti.
USA Maisha Ni mazuri Mimi nimemkosoa mtoa Mada naona hajielewiSasa kama sio kibiti USA kwa nini unafananisha na DAR
Uongo mtupu, angekuwa India angejuta ila sio Marekani