kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Anaesema kuwa mtoto wa nje ya ndoa ana hitilafu kijamii na kwa Mungu afikirie upya. Mwenye uwezo wa kuumba ni Mungu tu peke yake.
Kama umebahatika kupata mtoto wa nje ya ndoa mkumbatie sawa na wanavyokumbatiwa watoto wengine wote.
Msimfiche, mtangaze, mlete nyumbani kwako umlee bila ya kufikiri mara mbilimbili. Kama mke uliyenae atachukia mwambie alale mbele.
Imani mbovu iliyozoeleka juu ya watoto wa nje ya ndoa na woga wa wanaume kuwaogopa wake zao, wachungaji, masheikh na wanajamii juu ya watoto wao waliowapata nje ya ndoa kumesababisha mateso makubwa kwa watoto na akina mama wa nje ya ndoa.
Ni upuuzi kumficha mtoto na mama wa nje ya ndoa.