Mtoto wa nje ya ndoa ni mtoto wako, usimfiche

Mtoto wa nje ya ndoa ni mtoto wako, usimfiche

Hii kwani mwanaume hawezi kuja kuchukua mtoto wake wa kwenye ndoa???
Na wanaume wangapi wameachana na wake zao kisa mkewe kazaa na mwanaume mwingine , si wengi tuu.
We vipi mzee baba
Hiyo inatokea kama mume alikuwa hayuko nyumbani kabisa amesafiri au alifungwa jela na mke akapata mimba. Kaka kama wewe mwenyewe upo na unapiga kila siku mimba ya nje huwezi kuigundua Kamwe.
 
Tatizo letu linaanzia hapo, Mungu alivyompa mwanaume mbegu nyingi kuliko mayai ya mwanamke hakukosea. Amefanya hivyo kwa viumbe wake wote wakiwemo madume ya mbwa, nguruwe,, farasi, punda na hata nguchilo. Mbegu hizo sio kwaajili ya mke mmoja TU. Kuzaa mtoto na kumficha asijulikane kwa mkeo, watoto wako na duguzo ni udhaifu wa hali ya juu sana kwa Mwanaume. Hii ni tabia iliyozoeleka kwa wanaume wenye nguvu za kiume za kubabaisha na kipato Cha kuunganga. Kama mwanaume ana nguvu za kutosha za kiume na malisho ya kutosha hata wanawake 10 watakuwa radhi wawe wake zako.
Lakini MUNGU huyo huyo kazuia kuzini.
Usisahau mkuu.
 
Lakini MUNGU huyo huyo kazuia kuzini.
Usisahau mkuu.
Mkuu hebu tuelewane kidogo hapa. Neno kuzini limekuja duniani miaka kama 2000 tu iliyopita na miaka kama 100 tu hapa Afrika na Tanzania, kabla ya hapo taklibani miaka mabillioni iliyopita binadamu hakuwa na huo msamiati. Hakuna kuzini bali kuna wivu. Viumbe wooooooote wana wivu bila kujali ni kiumbe gani, kuku au ng"ombe au fisi au mbwa au kinyonga. Kila kiumbe anataka kumiliki akiwemo binadamu. Mungu sio mbaguzi kwa viumbe wake hata kidogo hawezi kumpa binadamu kosa la kuzini na kuwanyima viumbe wake wengine. kaka hakuna kuzini katika ufalme wa mungu kwa viumbe wake bali kuna wivu wa mapenzi kwa viumbe wote. neno la kuzini ni neno la wivu tu la binadamu ili kupunguza bughudha ya kupambania wanawake na wanaume na hilo ndio lililokuwa anguko la binadamu. Utaratibu huu wa ndoa na kuzini aliojiwekea binadamu alimuondolea ile kitu inaitwa survival of the fittest, yaani mwenye nguvu na afya bora ndiye alipaswa kuzaa watoto ambao watakuwa na nguvu na afya bora. Leo hii dunia inamejaa watu wagonjwa, wasiokuwa na nguvu na wavivu waliotokana na wazazi wagonjwa , wasiokuwa na afya bora na wavivu ambao hawakuwa na sifa ya kuzaa. Hii ndiyo sababu madume yote ya viumbe wote huwa yanagombania kumpanda jike, na mara nyingi huwa yanapigana kwanza ili afahamike ni nani mwenye nguvu na sifa ya kuzalisha majike kwenye kundi. Binadamu amejiwekea kanuni (ndoa na kuzini) ili hata lofa, mgonjwa, maskini, mvivu, mwenye magonjwa hatari ya kuridhi aweze kuoa, kumiliki mke na kuzaa watoto wagonjwa (albino, saratani, sicle cell, moyo, kansa ya damu, vilema, mataahira, kifafa, nk) ambao kwa kawaida hawakupaswa kuwepo duniani na kuendelea kuzaa watoto ambao ni wagonjwa wagonjwa. Tukumbuke kuwa sio Mungu aliyeleta hospitali, magari na usafiri mwingine, hivyo vilema wangekufa tu kwa vyovyote na kubakia wale wenye afya na nguvu (survial of the fittest)
 
Unalazimisha tukubaliane na ujinga wako
Sawa, sio kosa lako, bali kuna watu wamekutengenezea taswira ya Mungu ambae ana mipaka na anaegawana uwezo na kugombania mamlaka na kitu cha kutengenezwa kinachoitwa shetani. Hivyo kichwani kwako una watoto ambao ni halali na watoto ambao sio halali, una watoto wa Mungu na watoto wa shetani, kuna mambo ya Mungu na mambo ya shetani, kuna anayoyaweza Mungu na kuna asiyo yaweza. Hao watu wamemficha Mungu na kazi zake zote, na mamlaka yake yote na ukubwa wake wote na nguvu zake zote kwenye kitabu kimoja kidogo cha kurasa chache sana ambacho unaweza kukiweka kwapani ukipenda na kwenda zako unakokwenda. Mbaya zaidi hao watu wakakutengenezea dubwana lingine kubwaa kichwani kwako lenye maguvu wakaliita SHETANI ambo linanyang'anyana mamlaka na MwenyeziMungu Muumba wa vitu vyote virukavyo na vitaambavyo. Kwahiyo wewe kila unapomuona Mungu unamuona na shetani kwa wakati mmoja, na kila unapomfikiria Mungu unamfikiria na shetani kwa wakati huohuo, nonsense. Mungu wa kweli ukubwa, sifa, kazi na mambo yake hayatoshi kuandikwa na yeyote mahali popote, Mungu ni dude, dubwana, zigo lisiloshindwa kamwe. Angetaka wewe usizini angeweza hata kama wewe unataka kuzini, angetaka wewe usiibe angeweza hata kama wewe ungetaka kuiba, akitaka wewe usizae angeweza hata kama wewe ungetaka kuzaa, akitaka wewe usipate mali anaweza hata kama wewe unaitamani mali, akitaka wewe ufe anaweza hata kama wewe unatakaa kuishi. Mungu ni wa yote, wa wote wa vyote. Hakuna kuzini, hakuna mtoto haramu wala shetani. toa ukoko kwenye kichwa chako bro. Mjue Mungu kupitia kazi na sifa zake sio kupitia vitabu vya dini ulivyoandikiwa na kuletewa na wale jamaa waliotokaa paleeee. Mbona hujiulizi je na vitabu vya wanyama viko wapi, hawana mungu?
 
Bora ukizaa nje ya ndoa uniambie nijue namna ya kukusaidia na kumsaidia mtoto pia,nisingependa laana ya ulichokifanya ije iwatafune wanangu maana watoto wanaoteseka kwa kukataliwa/ kitengwa na baba zao hulia na Mungu na vilio vyao M/Mungu huvijibu kwa mapigo mazito sana.
Na Mungu huwafanikisha/ bariki mapema na kwa wepesi sana,
 
Hakuna mwana wa halali na asie wa halali, wote wameumbwa na Mungu kwa muda na samani zilezile. Ni halali na sio halali kwa mkeo tu basi na kikundi cha watu wa kwenye ibada unakoswali/sali. Unamuogopa mke wako kama nini ambae nae ni mtoto wa nje ya ndoa. Yaani mtoto wa nje ya ndoa anakataa mtoto mwingine wa nje ya ndoa. Ndoa hizi ni makubaliano ya kibinadamu kukidhi hoja za kijamii tu, lakini kiukweli kabisa sio mpango wa mungu. Mtoto ni baraka na zawadi kutoka kwa Mungu, hata akina Nabii Ibrahim walichepuka ili kuipata baraka na zawadi hii. Huwezi kusema mke wa ndoa asiyezaa ni bora kuliko mke wa nje anaezaa watoto, huwezi kusema mke wa ndoa anaezaa watoto vilema na wajinga ni bora kuliko mke wa nje anaezaa watoto wenye afya njema na akili, na huwezi kusema mke wa ndoa asiye na heshima ni bora kuliko mke wa nje mwenye heshima na mchapakazi, huwezi kusema mke wa ndoa asiekushauri vizuri ni bora kuliko mke wa nje anaekupatia ushauri unaokupatia mafanikio. Wanaume kuweni makini sana na hii zana potofu.
Sasa huyo mke wa ndoa ulimuoa wa Nini kama unaona huyo mchepuko ndo Bora??yani kwa kuwa mkeo anazaa vilema ndo umuone sio Bora? Au watoto wasiojiweza umuone sio Bora? Kumbuka naye hakupenda kuzaa hivyo,ila ni Mungu mwenyewe kampa hawezi kumkataa,Sasa ww umdharau kwa kuwa una mchepuko anatezaa wenye akili?? I'm speechless
 
Watoto hawauzwi na Wala hawauzwi, Wacha wazae TU kwangu watoto ni wangu na Mimi nitakweda kuzaa kwa wengine, vicious cycle. Baada ya kulitamua hilo wazee walikuja na msemo wa kitanda hakizai haramu. Lakini kama nikizaa na mwanamke ambae Hana mume lazima mtoto ajulikane na watu wote wa familia aiwemo mke wangu.
Lakini na ww ujiandae kulea asiye wako,trust me
 
Wewe ukimpata kwa makusudi au kwa bahati mbaya mpende mwanao huyo na muunganishe na wanao wengine wacheze pamoja, usiogope jimama lenye macho mekundu ambalo hata sio mwanao Wala dada yako, anaweza kukukimbia wakati wowote. Baraka Obama ni mtoto wa nje ya ndoa lakini alikuwa Rais wa nchi kubwa. Acha upuuzi kamlete mwanao nyumbani mchana kweuoe
[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Wewe hadi unakwenda huko nje bila ridhaa ya mkeo lengo lako ni kutafuta nini sasa?!

Kama unajua una mke basi pata nae watoto. Na kama unataka kupata nje ya mkeo basi akupe ridhaa na iwe kwa sababu za msingi.

Mambo ya kupata watoto hovyo hovyo halafu hamuwapatii malezi bora na mahitaji yao ya msingi ni kujenga kizazi cha vijana na mabinti wa hovyo wasiojitambua .

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Wanaona kuzaa watoto hovyo hovyo ni sifa
 
Huwa nawashangaa sana wale wanaoita mtoto wa nje ya ndoa ni MWANA HARAMU.... Binadamu bwana...

Somo zuri mkuu, Binadamu wote duniani ni viumbe wa Mungu na hakuna binadamu bora kuliko mwingine.. Wote tunazaliwa tunaishi na tunakufa... Hakuna aliye mkamilifu

Awe Genius, Mjanja, Taahira, kichaa au yupo yupo wote ni wa Mungu na Mungu ana kusudio lake kuwaumba..

Kwa hiyo mimi sioni sababu ya kumtenga mtoto wa nje ya ndoa na kumuita Mwanaharamu!!
Sahihi kabisa
 
Ukizaa lazima umwambie mkeo kuwa nimezaa mtoto paleee lakini mama yake simuoi au ninamuoa, wanawake hawana shida Sanna kama akijua kuwa unampenda, unamtumza na unamtosheleza kitandani. Hata wanawake huwa wanachepuka sana SEMA TU kuwa hujui, Hua wanakinai mtu huyohuyo kila siku, lazima atatembea hata na mchungaji, muumini, jirani, mfanyakazi mwenzake, mpenzi wake wa zamani/utotoni au rafiki yako wewe. La sivyo atatembea na meneja wa bank, mtoa vibali au mtoza ushuru.
Sio kweli
 
Sasa huyo mke wa ndoa ulimuoa wa Nini kama unaona huyo mchepuko ndo Bora??yani kwa kuwa mkeo anazaa vilema ndo umuone sio Bora? Au watoto wasiojiweza umuone sio Bora? Kumbuka naye hakupenda kuzaa hivyo,ila ni Mungu mwenyewe kampa hawezi kumkataa,Sasa ww umdharau kwa kuwa una mchepuko anatezaa wenye akili?? I'm speechless
We jamaa wewe Mungu akusaidie upate kumjua Mungu na kazi zake, Mungu amemuumba kila mtu peke yake na akamleta duniani kwa kusudi lake la kutimiza. Maisha yako wewe na kusudi lako wewe haliathiliwi hata kidogo, mfano, kama wewe umeletwa kwa kusudi la kuzaa mtoto ambae ni nabii basi lazima uzae mtoto ambae ni nabii bila kujali mkeo anaweza kuzaa au hawezi. Yaani kwakuwa mkeo ni mgumba ndio na wewe uwe mgumba? Kwakuwa mumeo ana kifafa Cha kulithi kwahiyo ndio na wewe ukubali kuzaa watoto wenye kifafa na mwanaume mwenye kifafa? Kwakuwa mkeo ana harufu mbaya ndio na wewe uvumilie hiyo harufu mbaya? Sio hivyo kaka, variety is the spice of life. Binadamu anakinai hata vitu vizuri. Ndio maana hata nabii Ibrahim alipoana mkewe hazai aliamua kuzaa na kijakazi wake. Yaani Sala hawezi kuzuia Ibrahim kuwa na mtoto kwakuwa yeye hazai kwa sababu zake. Unaweza kuzaa mwanamke ambae huko atokako ameugua kaswemde au gonorrhea, au ametoa mimba nyingi kabla hujamuoa wewe. Baada ya kumuoa unashangaa mke hapati mimba na hakwambii kama alishaugua kaswemde au ametoa mimba nyingi, je na wewe utaamua kufa bila kupata mtoto?

Kifupi ni kwamba kusudi lako wewe halizuiwi na mtu mwingine, kama wewe huwezi natafita anaeweza, kama wewe ni mgonjwa natafita mzima, kama wewe uko kwenye siku zako natafuta mkavu, kama wewe husimamishi vizuri natafuta anaedisa vizuri, kama mume ana kibamia mke anatafuta mwenye mzigo anaoutaka yeye. Maisha hayana huruma lazima yaendelee ili kusudi litimie.
 
Back
Top Bottom