Wengi wamekuja inbox kuniuliza hili na lile kuhusu hii mada. labda niseme kwa pamoja kuwa MwenyeziMungu ameumba na anaendelea viumbe wote na akavigawanya kwenye makundi 2 makuu ya wanaume na wanawake. Na kazi za msingi za wanaume na wanawake zinafanana kwa viumbe wote. kazi mama ya mwanamke kwa viumbe wote ni kupanda majike kwa lengo la kuzaa na kazi mama ya majike yote ni kupandwa na majike ili kupata mimba, kuzaa na kulea watoto hadi wawe wakubwa wafikie umri wa kujitemea wenyewe. Kazi ya pili kubwa ya ziada ya madume wote ni kutoa ulinzi kwa majike katika nyakati mbalimbali kama vile za hatari, mama anapozaa na mama anapoumwa au kunyonyesha, kuatamia, nk. Hakuna ngono kwaajili ya furaha tu hata kidogo, maana ngono zote zinadhoofisha afya za madume kwa njia mbalimbali. Wanyama wengine wamepewa akili ya kutambua lini jike limepusha mayai yake kwaajili ya kupata mimba hivyo wanapandana kwa wakati huo tu, lakini madume ya binadamu hayana akili ya kutambua ni lini yai la mwanamke limepevuka, hivyo wanaume inawalazimu kuwapanda wanawake wao kima kwa kujaribu (try and error) ili kukutana na wakati wa kupevuka yai la mwanamke. Hii inasababisha wanaume wawe vitombi kwakuwa hawajui ni lini mkewe atapata mimba. Mwanamke anaweza kujua lini yai lake limekomaa lakini mwanaume hajui anafanya ile kitu mwanasayansi ya tabia aitwae B.F. Skinner aliita "Operant Conditioning", yaani mwanaume anamwagamwaga mbegu zake kwenye uke kila siku kila mara lakini hajui ni mbegu ipi na lini itaota kuwa mimba.
Hivyo basi ni makosa makubwa ya Kimungu kwa mwanaume kufanya ngono na kummwagia mbegu zake mwanamke ambae hatarajii kuzaa, hataki kuzaa au hawezi kuzaa (kazeeka, ana mimba tayari, ananyonyesha kitoto kichanga, anatumia njia za uzazi wa mpango ili asipate mimba, mtoto mdogo ambae hajavunja ungo, mgonjwa au mwanafunzi ambae hatakiwi kuwa na ujauzito) na kuwaacha wanawake ambao wanazihitaji mbegu hizo kwa kuzaa.
Unapotembea na mwanamke ambae hataki au hawezi kuzaa hivyo maana yake unafanya hivyo kujifurahisha/kujiumiza kipumbavu au kumfurahisha mwanamke huyo. Yaani unamfurahisha yeye kisha unamhonga tena yeye wakati wewe unaumia. Kwa maana yake jimama hilo linafurahishwa, linalishwa, linasafirishwa na kulipwa mapesa pia na mwanaume huyo mpumbavu.
Hakuna mwanamke mwenye akili timamu ambae anatiwa vizuri (sexual satisfaction) na mume wake, analishwa vizuri na mume wake, anatunzwa vizuri na mume wake huyo na kuthaminiwa na mumewe ambae ataondoka kwako kwakuwa umezaa nje ya ndoa, hayupo huyo. Atangurumanguruma tu kidogo kama paka lakini yupoo.