Mtoto wa nje ya ndoa ni mtoto wako, usimfiche

Hii kwani mwanaume hawezi kuja kuchukua mtoto wake wa kwenye ndoa???
Na wanaume wangapi wameachana na wake zao kisa mkewe kazaa na mwanaume mwingine , si wengi tuu.
We vipi mzee baba
Hiyo inatokea kama mume alikuwa hayuko nyumbani kabisa amesafiri au alifungwa jela na mke akapata mimba. Kaka kama wewe mwenyewe upo na unapiga kila siku mimba ya nje huwezi kuigundua Kamwe.
 
Lakini MUNGU huyo huyo kazuia kuzini.
Usisahau mkuu.
 
Lakini MUNGU huyo huyo kazuia kuzini.
Usisahau mkuu.
Mkuu hebu tuelewane kidogo hapa. Neno kuzini limekuja duniani miaka kama 2000 tu iliyopita na miaka kama 100 tu hapa Afrika na Tanzania, kabla ya hapo taklibani miaka mabillioni iliyopita binadamu hakuwa na huo msamiati. Hakuna kuzini bali kuna wivu. Viumbe wooooooote wana wivu bila kujali ni kiumbe gani, kuku au ng"ombe au fisi au mbwa au kinyonga. Kila kiumbe anataka kumiliki akiwemo binadamu. Mungu sio mbaguzi kwa viumbe wake hata kidogo hawezi kumpa binadamu kosa la kuzini na kuwanyima viumbe wake wengine. kaka hakuna kuzini katika ufalme wa mungu kwa viumbe wake bali kuna wivu wa mapenzi kwa viumbe wote. neno la kuzini ni neno la wivu tu la binadamu ili kupunguza bughudha ya kupambania wanawake na wanaume na hilo ndio lililokuwa anguko la binadamu. Utaratibu huu wa ndoa na kuzini aliojiwekea binadamu alimuondolea ile kitu inaitwa survival of the fittest, yaani mwenye nguvu na afya bora ndiye alipaswa kuzaa watoto ambao watakuwa na nguvu na afya bora. Leo hii dunia inamejaa watu wagonjwa, wasiokuwa na nguvu na wavivu waliotokana na wazazi wagonjwa , wasiokuwa na afya bora na wavivu ambao hawakuwa na sifa ya kuzaa. Hii ndiyo sababu madume yote ya viumbe wote huwa yanagombania kumpanda jike, na mara nyingi huwa yanapigana kwanza ili afahamike ni nani mwenye nguvu na sifa ya kuzalisha majike kwenye kundi. Binadamu amejiwekea kanuni (ndoa na kuzini) ili hata lofa, mgonjwa, maskini, mvivu, mwenye magonjwa hatari ya kuridhi aweze kuoa, kumiliki mke na kuzaa watoto wagonjwa (albino, saratani, sicle cell, moyo, kansa ya damu, vilema, mataahira, kifafa, nk) ambao kwa kawaida hawakupaswa kuwepo duniani na kuendelea kuzaa watoto ambao ni wagonjwa wagonjwa. Tukumbuke kuwa sio Mungu aliyeleta hospitali, magari na usafiri mwingine, hivyo vilema wangekufa tu kwa vyovyote na kubakia wale wenye afya na nguvu (survial of the fittest)
 
Unalazimisha tukubaliane na ujinga wako
Sawa, sio kosa lako, bali kuna watu wamekutengenezea taswira ya Mungu ambae ana mipaka na anaegawana uwezo na kugombania mamlaka na kitu cha kutengenezwa kinachoitwa shetani. Hivyo kichwani kwako una watoto ambao ni halali na watoto ambao sio halali, una watoto wa Mungu na watoto wa shetani, kuna mambo ya Mungu na mambo ya shetani, kuna anayoyaweza Mungu na kuna asiyo yaweza. Hao watu wamemficha Mungu na kazi zake zote, na mamlaka yake yote na ukubwa wake wote na nguvu zake zote kwenye kitabu kimoja kidogo cha kurasa chache sana ambacho unaweza kukiweka kwapani ukipenda na kwenda zako unakokwenda. Mbaya zaidi hao watu wakakutengenezea dubwana lingine kubwaa kichwani kwako lenye maguvu wakaliita SHETANI ambo linanyang'anyana mamlaka na MwenyeziMungu Muumba wa vitu vyote virukavyo na vitaambavyo. Kwahiyo wewe kila unapomuona Mungu unamuona na shetani kwa wakati mmoja, na kila unapomfikiria Mungu unamfikiria na shetani kwa wakati huohuo, nonsense. Mungu wa kweli ukubwa, sifa, kazi na mambo yake hayatoshi kuandikwa na yeyote mahali popote, Mungu ni dude, dubwana, zigo lisiloshindwa kamwe. Angetaka wewe usizini angeweza hata kama wewe unataka kuzini, angetaka wewe usiibe angeweza hata kama wewe ungetaka kuiba, akitaka wewe usizae angeweza hata kama wewe ungetaka kuzaa, akitaka wewe usipate mali anaweza hata kama wewe unaitamani mali, akitaka wewe ufe anaweza hata kama wewe unatakaa kuishi. Mungu ni wa yote, wa wote wa vyote. Hakuna kuzini, hakuna mtoto haramu wala shetani. toa ukoko kwenye kichwa chako bro. Mjue Mungu kupitia kazi na sifa zake sio kupitia vitabu vya dini ulivyoandikiwa na kuletewa na wale jamaa waliotokaa paleeee. Mbona hujiulizi je na vitabu vya wanyama viko wapi, hawana mungu?
 
Na Mungu huwafanikisha/ bariki mapema na kwa wepesi sana,
 
Sasa huyo mke wa ndoa ulimuoa wa Nini kama unaona huyo mchepuko ndo Bora??yani kwa kuwa mkeo anazaa vilema ndo umuone sio Bora? Au watoto wasiojiweza umuone sio Bora? Kumbuka naye hakupenda kuzaa hivyo,ila ni Mungu mwenyewe kampa hawezi kumkataa,Sasa ww umdharau kwa kuwa una mchepuko anatezaa wenye akili?? I'm speechless
 
Lakini na ww ujiandae kulea asiye wako,trust me
 
[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Wanaona kuzaa watoto hovyo hovyo ni sifa
 
Sahihi kabisa
 
Sio kweli
 
We jamaa wewe Mungu akusaidie upate kumjua Mungu na kazi zake, Mungu amemuumba kila mtu peke yake na akamleta duniani kwa kusudi lake la kutimiza. Maisha yako wewe na kusudi lako wewe haliathiliwi hata kidogo, mfano, kama wewe umeletwa kwa kusudi la kuzaa mtoto ambae ni nabii basi lazima uzae mtoto ambae ni nabii bila kujali mkeo anaweza kuzaa au hawezi. Yaani kwakuwa mkeo ni mgumba ndio na wewe uwe mgumba? Kwakuwa mumeo ana kifafa Cha kulithi kwahiyo ndio na wewe ukubali kuzaa watoto wenye kifafa na mwanaume mwenye kifafa? Kwakuwa mkeo ana harufu mbaya ndio na wewe uvumilie hiyo harufu mbaya? Sio hivyo kaka, variety is the spice of life. Binadamu anakinai hata vitu vizuri. Ndio maana hata nabii Ibrahim alipoana mkewe hazai aliamua kuzaa na kijakazi wake. Yaani Sala hawezi kuzuia Ibrahim kuwa na mtoto kwakuwa yeye hazai kwa sababu zake. Unaweza kuzaa mwanamke ambae huko atokako ameugua kaswemde au gonorrhea, au ametoa mimba nyingi kabla hujamuoa wewe. Baada ya kumuoa unashangaa mke hapati mimba na hakwambii kama alishaugua kaswemde au ametoa mimba nyingi, je na wewe utaamua kufa bila kupata mtoto?

Kifupi ni kwamba kusudi lako wewe halizuiwi na mtu mwingine, kama wewe huwezi natafita anaeweza, kama wewe ni mgonjwa natafita mzima, kama wewe uko kwenye siku zako natafuta mkavu, kama wewe husimamishi vizuri natafuta anaedisa vizuri, kama mume ana kibamia mke anatafuta mwenye mzigo anaoutaka yeye. Maisha hayana huruma lazima yaendelee ili kusudi litimie.
 
Mkuu hebu tuelewane kidogo hapa. Neno kuzini limekuja duniani miaka kama 2000 tu iliyopita na miaka kama 100 tu hapa Afrika na Tanzania,
Basi kungekuwa hakuna ndoa mkuu.
Kwani Tanzania ndoa imaenza lini???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…