Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
💯%.Nakubaliana na wewe. Hao watoto wa wakisimama kupinga baba zao wanachowafanyia watanzania italeta tofauti kubwa sana. Natamani nao wafe, watekwe, wafirwe etc, nione wazazi wao kama wataendelea kuunga mkono uovu unaofanywa na serikali haramu wanayoitumikia
It’s the next best thing. So it is what it is.Natumaini unafahamu hiki ni kisasi, si haki.
Anaitwa nani huyo binti ?!Daa watanzania sasa wamekuwa kama Iran, wanapeleka moto hatari.
Prof Kabudi pamoja na kuwananga mabeberu kumbe Binti yake anafanya kazi Norway as a lecturer
Sasa Watanzania na Wakenya Wamejipanga kuandamana kwenye chuo anachofundisha uyo binti Ili uongozi wa chuo ujue Binti uyo anafaidika Kwa damu za watanzania.
Wanajipanga staff na students wa huyo Binti wa Kabudi wajue baba yake na uyo Binti ni muuaji na anadidimiza haki za watu.
N.B watanzania mtakao andamana hapo Norway mpelekeeni moto huyo kibaka,Ili baba yake atie akiri.
Aione Pascal MayallaMke na Mtoto wa Putin walifukuzwa Uswiss kwa sababu Putin alivamia Ukraine
Account za ndugu zake wakaribu na marafiki vile vile ilibidi zifungwe
Abromovich alifukuzwa uingereza na akanyang'anywa umiliki wa Chelsea
Sanction za China hupewa wewe na watoto wako
Sasa hapo ni wivu au nini?
Hao watoto ndiyo huuza information za diaspora wanaopigania haki huko TZ, mtoto wa nyoka ni nyoka.Huu ni ukichaaa sasa, Kila mtu ajibie dhambi zake sio dhambi za baba ajibie mtoto