Mtoto wa Palamagamba Kabudi, kuonja jiwe la moto Norway

Mtoto wa Palamagamba Kabudi, kuonja jiwe la moto Norway

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
Daa watanzania sasa wamekuwa kama Iran, wanapeleka moto hatari.

Prof Kabudi pamoja na kuwananga mabeberu kumbe Binti yake anafanya kazi Norway as a lecturer

Sasa Watanzania na Wakenya Wamejipanga kuandamana kwenye chuo anachofundisha uyo binti Ili uongozi wa chuo ujue Binti uyo anafaidika Kwa damu za watanzania.

Wanajipanga staff na students wa huyo Binti wa Kabudi wajue baba yake na uyo Binti ni muuaji na anadidimiza haki za watu.

N.B watanzania mtakao andamana hapo Norway mpelekeeni moto huyo kibaka,Ili baba yake atie akiri.
 
Ujinga tu!, maswala ya kumuhukumu mtoto kwa dhambi za baba yake huo ni upumbavu ama ujinga wa hali ya juu!.
Kama mtu ahusiki moja kwa moja na madhambi ya baba yake basi hatakiwi kuhukumiwa nayo, issues za kuhukumu kizazi ni ulimbukeni,ujinga na uzwazwa!.
 
communists wote wako hivyo, they preach water and drink wine, wale mamullah wa islamic republic irani watoto wao wako USA na capital cities of europe full kujiachia, ila kule irani baba zao wanatembeza kichapo kwa watoto wa wengine, hiyo ndiyo communism ...
 
communists wote wako hivyo, they preach water and drink wine, wale mamullah wa islamic republic irani watoto wako USA na capital cities of europe full kujiachia, ila kule irani baba zao wanatembeza kichapo kwa watoto wa wengine, hiyo ndiyo communism ...
Kama Msigwa anawananga mabeberu uku litoto lake linasoma US, hapo Marco Rubio ndo maana anawatimua
 
Dawa
Ilipaswa hata hawa polisiccm huku mtaani watengwe na jamii na huduma muhimu wasipewe

akifika dukani hata kama bidhaa anaiona lakini muuzaji amwambie bidhaa hiyo imeshanunuliwa au imeisha
Dawa bongo ni silaha, watu wakipata bunduki ata 100 nchi nzima aisee kuwamwaga ubongo hao vibaka ni dakika 0
 
Ujinga tu!, maswala ya kumuhukumu mtoto kwa dhambi za baba yake huo ni upumbavu ama ujinga wa hali ya juu!.
Kama mtu ahusiki moja kwa moja na madhambi ya baba yake basi hatakiwi kuhukumiwa nayo, issues za kuhukumu kizazi ni ulimbukeni,ujinga na uzwazwa!.
Who cares??
 
Daa watanzania sasa wamekuwa kama Iran, wanapeleka moto hatari.
Hii sio sifa, huu ni uendawazimu!
Prof Kabudi pamoja na kuwananga mabeberu kumbe Binti yake anafanya kazi Norway as a lecturer
Nchi za Scandnavia, Norway, Sweden na Denmark sio nchi za kibeberu, hawa sio wanyonyaji, mashirika yao ya misaada ya NORAD, SIDA na DANIDA, yameisaidia sana nchi yetu, na misaada yao haina masherti.
Sasa Watanzania na Wakenya Wamejipanga kuandamana kwenye chuo anachofundisha uyo binti Ili uongozi wa chuo ujue Binti uyo anafaidika Kwa damu za Watanzania.
Huu ni uendawazimu!.
Wanajipanga staff na students wa huyo Binti wa Kabudi wajue baba yake na uyo Binti ni muuaji na anadidimiza haki za watu.
Kwanza what has makosa ya baba got to do na mtoto wake?!.
Pili, wakati kinatokea kilichotokea, baraza la mawaziri lilikuwa limeishavunjwa, what has Prof Kabudi, got to do na kilichotokea?.
N.B watanzania mtakao andamana hapo Norway mpelekeeni moto huyo kibaka,Ili baba yake atie akiri.
Kama kweli kuna Mtanzania ataandamana, nitaamimi kumbe Watanzania vichaa wako mpaka nchi za kiungwana na kistaarabu!.

Hiki wewe unachokifanya hapa ni kujenga chuki, huu ni ugonjwa hatari, nimeuandikia makala leo kwenye gazeti la Nipashe Je Wajua Chuki ni Ugonjwa?. Chuki ni Ugonjwa Hatari Unaua!, na Unaoambukiza kwa Kasi!. Watanzania Tuacheni Chuki!, Tiba Yake ni Upendo!. Adui Mpende!

Kuna wengi hawamjui Prof. Kabudi Asante Rais Samia Kutuletea Prof. Kabudi Pale Sheria, Ni Best Brain, High IQ. na Bingwa wa Katiba. Je, Atakuwa Mkweli Ubatili wa Katiba na Sheria au?

P
 
Hawezi kubeba makosa ya baba yake?
Hana kosa, kama baba yake amewakosea mbebesheni mwenyewe.
Kwa nini asibebe makosa ya baba yake. Huyo mtoto moja kwa moja ana msapoti huyo baba yake. Lazima apelekewe moto.
Mimi baba yangu angekuwa anakumbatia uchawa na kusapoti uuaji nisingekubali ningemkana hadharani hata kama ni baba yangu.
Hao watoto wasipopelekewa moto ndo watakuja kupewa madaraka na kuendeleza uozo wanaofanya wazazi wao
 
communists wote wako hivyo, they preach water and drink wine, wale mamullah wa islamic republic irani watoto wako USA na capital cities of europe full kujiachia, ila kule irani baba zao wanatembeza kichapo kwa watoto wa wengine, hiyo ndiyo communism ...
Mnamezeshwa matango pori na mabeberu hasa nyinyi mlioko huko kwao kuosha vibibi vya kizungu....
Hii hapa Iran ya leo na ambayo iko kwenye vita, wapi wanapelekewa kichapo?


View: https://www.youtube.com/watch?v=yvmXuVx7FuA
 
Back
Top Bottom