Hii sio sifa, huu ni uendawazimu!
Nchi za Scandnavia, Norway, Sweden na Denmark sio nchi za kibeberu, hawa sio wanyonyaji, mashirika yao ya misaada ya NORAD, SIDA na DANIDA, yameisaidia sana nchi yetu, na misaada yao haina masherti.
Huu ni uendawazimu!.
Kwanza what has makosa ya baba got to do na mtoto wake?!.
Pili, wakati kinatokea kilichotokea, baraza la mawaziri lilikuwa limeishavunjwa, what has Prof Kabudi, got to do na kilichotokea?.
Kama kweli kuna Mtanzania ataandamana, nitaamimi kumbe Watanzania vichaa wako mpaka nchi za kiungwana na kistaarabu!.
Hiki wewe unachokifanya hapa ni kujenga chuki, huu ni ugonjwa hatari, nimeuandikia makala leo kwenye gazeti la Nipashe
Je Wajua Chuki ni Ugonjwa?. Chuki ni Ugonjwa Hatari Unaua!, na Unaoambukiza kwa Kasi!. Watanzania Tuacheni Chuki!, Tiba Yake ni Upendo!. Adui Mpende!
Kuna wengi hawamjui Prof. Kabudi
Asante Rais Samia Kutuletea Prof. Kabudi Pale Sheria, Ni Best Brain, High IQ. na Bingwa wa Katiba. Je, Atakuwa Mkweli Ubatili wa Katiba na Sheria au?
P