Anataka kufanya mapinduzi yatakayobarikiwa na raisi aliyeko madarakani japokuwa kwa dhaahiri itaonekana kama ni mapinduzi ila kwa siri ni kurithisha.Nafikiri kwa kuzingatia cheo chake jeshini inamaanisha ana influence kwa walio chini yake pia hivyo anavyosema nia yake huku bado yupo ndani ya jeshi yawezekana anataka kufanya mapinduzi
Nafikiri kwa kuzingatia cheo chake jeshini inamaanisha ana influence kwa walio chini yake pia hivyo anavyosema nia yake huku bado yupo ndani ya jeshi yawezekana anataka kufanya mapinduzi
Mwezi uliopita kuna RPC alisema anatamani kua IGP.Nia ya kugombea au nia ya kumpindua baba yake??---- mimi nazungumzia nia ya kugombea na sio vinginevyo, kuweka nia na kuitangaza sio dhambi na hivyo sheria yoyote itakayopinga jambo hilo ni sheria ya kipuuzi na haistahili kuendelea kuwepo katika nchi zenye demokrasia ya kweli.
Mwezi uliopita kuna RPC alisema anatamani kua IGP.
Nini kilifuatia baada ya hilo tangazo lake?
Leo hii Mkuu wa Majeshi aseme anautamani urais na huku bado anashikilia madaraka ya ukuu wa majeshi unadhani litakua ni tangazo la furaha?
Anyway, umeandika neno demokrasia ya kweli mara nyingi so naassume una case study hata moja. Nitajie nchi ambayo kiongozi mkubwa wa jeshi akiwa bado madarakani alitangaza kutaka kua rais, itapendeza ukataja nchi ambazo zina demokrasia ya kweli.
Kwani mjeshi hana utashi wa kibinadamu??!--- yaani mtu akishakuwa mjeshi basi anakuwa kama Robot na hivyo hastahili mahitaji na utashi wa kibinadamu??!---- is it conceivable!!
Ni afisa wa jeshi hatakiwi kujihusisha na siasa, labda ajiuzulu kwanza jeshi.Kumbe huko Uganda mtu kueleza nia ya kugombea Urais ni kosa??!!
Msamiati ROBOTI ni mzuri sana. Nijuavyo, jeshini inafanana sana na mashine hiyo. Wao ni tofauti kidogo na uraiani, wana namna zao za kujiendesha. Ndiyo maana wao wana mahakama zao kutegemea aina ya makosa.
Ni afisa wa jeshi hatakiwi kujihusisha na siasa, labda ajiuzulu kwanza jeshi.
Nakubaliana na wewe kwamba kila mtu ana haki ya kutangaza nia ya kugombea.Kama hakuna kiongozi wa jeshi aliyewahitangaza nia ya kuwania urais ndio tuseme kutangaza nia ukiwa katika hayo madaraka ni kosa???!!
Huyo aliyetamani u-IGP huyo alifanya kosa kwani cheo cha U IGP hakigombewi kama cheo cha Urais hivyo huyo ilitakiwa asipewe hicho cheo tu na hiyo ingetosha kuwa ndio adhabu yake na si vinginevyo.
Cheo cha uraisi mtu anapigiwa kura, yaani ni watu ndio wanaokuchagua kwa kukuona unafaa sasa mtu anapotangaza nia ni sawa na kuwaambia wapiga kura kwamba na yeye anataka kuingia kwenye kinyang'anyiro hicho na hivyo anaweza kuona/prediction ya upepo jinsi jamii inamuonaje.
Sio kosa kwa mtu yeyote kutangaza nia ya kugombea cheo kinachotolewa na radhaa ya umma, kama ipo sheria inayowadhulumu watu wa kada fulani kutangaza nia hiyo ni sheria ya kidhalimu dhidi ya haki ya kila mtu, haki ya kuchagua na kuchaguliwa.
Hebu niambie hivi huyo mwanajeshi hana haki ya kuchagua kiongozi katika uchaguzi mkuu??!!, kama anayo haki vipi akose haki ya kutangaza nia ili hapo baadaye umma umchague au usimchague kipitia njia.ya demokrasia??!!.
Hili jambo watu mnalitazama negative sana kuliko positive kiasi kwamba mnataka kuwanyima watu fulani haki yao ya kidemokrasia kisa tu watu hao wanawadhifa fulani--- wadhifa umegeuka laaana na mwiko!!!
Msaada iwapo lolote limekuaHuyu jamaa kila baada ya muda ana tweet kuhusu kuutaka uraisi.
Last month alifanya birthday Kagame akahudhuria.
Anamuhusudu sana Kagame.
Ila jamaa naona bado ana akili za utoto mwingi ukifuatilia post zake.
Nakubaliana na wewe kwamba kila mtu ana haki ya kutangaza nia ya kugombea.
Lakini unajua sheria yetu hapa Tz inakataza baadhi ya watumishi wa Umma kua wanachama wa vyama vya siasa?
Unadhani ni kwanini?
Umewahi kumuona mwanajeshi au askari anaenda kupiga kura akiwa na sare za kazini?
Unadhani kwanini?
Tulia aligomewa kua naibu spika wakipinga uanachama wake kwa chama cha siasa na nafasi aliyokua nayo kama mtumishi wa umma.
Ubishi unaouleta kwenye Democracy unaitwa Democracy Fallacy, hautaki kuona mipaka, wewe umekariri kwakua demokrasia inakupa uwanja wa kugombea basi na mwanajeshi agombee.
Umezunguka sana bila kujibu nilichouliza.
Nitajie nchi ambayo mwanajeshi akiwa jeshini alisema anautaka urais.
Suharto na Washington walitangaza nia huku wakiwa wanajeshi?Sasa kama unakubaliana na mimi kwamba kila mtu anayo hiyo haki ya kutangaza nia sasa kwanini usiniunge mkono kupinga sheria kandamizi zinazonyima baadhi ya watu kupata hiyo haki??!!
Hizo sheria zimepitwa na wakati.
Nasema tena hivi: hata kama hayupo mwanajeshi duniani aliyewahi kutangaza nia ya kugombea na hadi akapata huo uongozi/uraisi bado hiyo ni hoja dhaifu kupinga kwamba leo hakuna mwanajeshi mwenye haki ya kutangaza nia na hadi kuupata urais hata kama awe na uwezo mkubwa wa kuwa kiongozi !!!---- hiyo ni hoja mfu ilioje !!, What a defunct argument!!!, hiyo hoja inafanana na hoja ya wala nyama za watu ambao wao wakila nyama za watu hudai kwamba wao sio watu wa kwanza kula nyama za watu hivyo ni jambo la kawaida na wao wakila, sasa haiwezi kuwa ni jambo la kawaida kwa wanajeshi kutotangaza nia eti kwasababu duniani hakuna mwanajeshi aliyewahi kutangaza nia!!!.
Suharto wa indonesia alikuwa mwanajeshi alitangaza nia na akawa rais, George Washington naye hivyo hivyo.--- ingawa hiyo siyo hoja ya kushika.
Suharto na Washington walitangaza nia huku wakiwa wanajeshi?
Elewa nilichoandika.
Sijasema aliyewahi kua mwanajeshi nimesema 'Ametangaza nia akiwa mwanajeshi'
Shida ipo ndiyo maana haujawahi kusikia mwanajeshi katangaza kuutaka urais huku bado anashikilia madaraka ya jeshi.Sasa shida ipo wapi mwanajeshi akitangaza nia mkuuu!!!----- au kutangaza nia kwa mwanajeshi ni jina jingine la kufanya mapinduzi??
Think positively and not negatively.
Kufikiri negatively ni kama vile kudhani kwamba kila mwanaume atokaye na mwanamke guest basi katoka kufanya uzinzi.
Nimefollow account yake huko Twitter, hamna kitu huyo jamaa hata sera zake ni za ovyo kabisa. Museven kakosa mrithi mwingine?Huyu jamaa kila baada ya muda ana tweet kuhusu kuutaka uraisi.
Last month alifanya birthday Kagame akahudhuria.
Anamuhusudu sana Kagame.
Ila jamaa naona bado ana akili za utoto mwingi ukifuatilia post zake.