GE2025 Mtoto wa Rais Samia, Wanu Ameir: Tutanunua mashine za kuchimba makaburi Kizimkazi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mgombea Ubunge Jimbo la Makunduchi, Wanu Hafidh Ameir amesema Wananchi wa Kizimkazi wameomba Mashine maaalum za kuchimba Makaburi kutokana na ardhi yao kuwa ngumu ya Mawe hali inayowapa tabu wakati wa kuchimba hivyo kwa kushirikiana na Viongozi wenzake watakwenda kununua Mashine tatu ili kuondoa changomoto.

Ameyasema hayo huko Kiwanja vya Pwani Kizimkazi Mkunguni ukiwa sehemu ya mwendelezo wa Mikutano ya Kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, ambapo amesema Wana Makunduchi wanapaswa kuwachagua ili kuwaletea maendeleo na kuwaondolea changomoto zote zinawakabili kwani wamedhamiria kuwatumikia Jimbo la Makunduchi.

FB_IMG_1759557878308.jpg
 
Waje kuzika huku Tanganyika au wachome moto kama Wahindi
 
Like mom, like daugher!
Wanu kazingua sana dogo si angepiga kimya tu kuliko kuongea hio issue yaan umeacha issue zote umeona makaburi? Kwa hio hao watu wake wana shida hio tu ya kuzika hawana shida nyingine? Dogo hana sikendo km kaka yake mpigaji aangalie point za kuongea watu watamtoa kwenye reli shaurizake
 
Wazungu wanamsemo wao unasema,like father like son.Waswahili wanasema kupatwa kwa mwezi.Kweli Mungu na maajabu yake.Kwenye hii familia ndio tunapata mtawala wa Jamuhuri(kazi tunayo)
 
Ili watuzike kabisa wakishatuua sio?
Huyu binti hajataka kabisa kuumiza kichwa yani ni kwamba watu wafe tu tuzike(simple).Hajataka kujua watu wanakufa kwa sababu zipi(yeye kaona wafe tu tuzike basi) na akipita utakuta waziri.Sasa ndio anapewa ripoti ya vifo vya watoto wachanga na mama wajawazito sio ndio ataongeza mashine nyingi tu za kuchimba makaburi kwa akili kama hizi
 
😂 Ila waislam bhana 🙌

Kuna namna ukiwa ccm unakuwa mpumbavu
 
yuko sawa...

au kuna mtu alitarajia hoja tofauti na hiyo toka kwa Wannu?
 
Huko Jambo muhimu kuzikana tu Hakuna lingine.

Watu wanawaza kuzikana tu.
 
Back
Top Bottom