Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mgombea Ubunge Jimbo la Makunduchi, Wanu Hafidh Ameir amesema Wananchi wa Kizimkazi wameomba Mashine maaalum za kuchimba Makaburi kutokana na ardhi yao kuwa ngumu ya Mawe hali inayowapa tabu wakati wa kuchimba hivyo kwa kushirikiana na Viongozi wenzake watakwenda kununua Mashine tatu ili kuondoa changomoto.
Ameyasema hayo huko Kiwanja vya Pwani Kizimkazi Mkunguni ukiwa sehemu ya mwendelezo wa Mikutano ya Kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, ambapo amesema Wana Makunduchi wanapaswa kuwachagua ili kuwaletea maendeleo na kuwaondolea changomoto zote zinawakabili kwani wamedhamiria kuwatumikia Jimbo la Makunduchi.
Waje kuzika huku Tanganyika au wachome moto kama WahindiMgombea Ubunge Jimbo la Makunduchi, Wanu Hafidh Ameir amesema Wananchi wa Kizimkazi wameomba Mashine maaalum za kuchimba Makaburi kutokana na ardhi yao kuwa ngumu ya Mawe hali inayowapa tabu wakati wa kuchimba hivyo kwa kushirikiana na Viongozi wenzake watakwenda kununua Mashine tatu ili kuondoa changomoto.
Ameyasema hayo huko Kiwanja vya Pwani Kizimkazi Mkunguni ukiwa sehemu ya mwendelezo wa Mikutano ya Kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, ambapo amesema Wana Makunduchi wanapaswa kuwachagua ili kuwaletea maendeleo na kuwaondolea changomoto zote zinawakabili kwani wamedhamiria kuwatumikia Jimbo la Makunduchi.
Duuuh hii balaa kwa hio wale wazee wa mazoezi ya maigizo mengi wataua raia wangapi wasio na hatia?
Wanu kazingua sana dogo si angepiga kimya tu kuliko kuongea hio issue yaan umeacha issue zote umeona makaburi? Kwa hio hao watu wake wana shida hio tu ya kuzika hawana shida nyingine? Dogo hana sikendo km kaka yake mpigaji aangalie point za kuongea watu watamtoa kwenye reli shaurizakeLike mom, like daugher!
Hahaha noma km nomaWale waliorusha mawe mwendokasi sada wapo baharini kuja kizimkazi
Huyu binti hajataka kabisa kuumiza kichwa yani ni kwamba watu wafe tu tuzike(simple).Hajataka kujua watu wanakufa kwa sababu zipi(yeye kaona wafe tu tuzike basi) na akipita utakuta waziri.Sasa ndio anapewa ripoti ya vifo vya watoto wachanga na mama wajawazito sio ndio ataongeza mashine nyingi tu za kuchimba makaburi kwa akili kama hiziIli watuzike kabisa wakishatuua sio?