Mtoto wa Ruge ni shidaa...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]niokotwe mabwepande mie

Wanazengo nipen miez minne tu nabeba mimba ya mwachi 🀣🀣


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hivi kumbe Warumi ni Mwanamke? Au mimi sijaelewa? Nilidhani ni Mwanamme
 
PJ miaka hiyo akuwa Clouds,alikua RFA huko kama sio ITV.. Hando sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli wanawake hawaelewi wanataka nini,
Mara wanataka mwanaume mweupe
Mara wanataka mwanaume mweusi
Unakosea mkuu kwenye color wengi wanaprefer blak..mweupe akiwa na hela ule udhaifu inafunikwa na pesaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..sasa uwe mweupe manyodo kama yote inajiona umezaliwa uesiei pesa huna..khaa itakupasa ujibebe
 
Ndiyo ila uwa sitaki ku comment sana sababu thinking capacity za watu majukwaa haya siyo kama kule Jukwaa letu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daah acha basi dharau, thinking capacity ya mtu unaipima kwa kuangalia majukwaa anayotembelea mbona hata huko siasani kuna watu wana akili ndogo hadi unajiuliza hivi aliyeandika comment hii ni mtu mzima au mtoto?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…