Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
😂😂😂ndo raha nikakileee kben5
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee kumbe nami nipo kwenye kundi la wazuri!!Sikuwahi kujua hili kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..angalia comments za wanawake wanapenda wanaume gan..nashangaaga wakaka weupe kutwa kujiona wazuurii🤔
Kaka!nimekuhamu
Aisee kumbe nami nipo kwenye kundi la wazuri!!Sikuwahi kujua hili kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha siwezi nikawa mweupe mie,Lazima nitakuwa mweusi tu.kama ww mweupe soko lako lipo kwa under 25...wanataka wakuosha naye sura[emoji4][emoji4]finyu saaaana
Mama yao upo wapi?Japo pia anaonekana ana huruma sana, niliona jinsi alivyokuwa anawabembeleza wadogo zake mpk nikajisikia vibaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawaza tu kwa Sauti ya juu,hawa watoto wataendelea kupiga shule pale Feza kweli au ndo basiJuju jina la shuleni ni Russell
PJ miaka hiyo akuwa Clouds,alikua RFA huko kama sio ITV.. Hando sawaInterview ilifanyika
Ili kilichotokea ilikuwa ni ubovu wa mic so wakawa wanatumia mic moja watangazaji wote huku moja akitumia ile nyingine
Walioorudi ofisini wakamind hawa kina masoud kwa uongozi ikatafsiriwa kama ukosefu wa nidhamu wakaambiwa waandike barua za kuomba msamaha masoud na wengine waliofukuzwa wakagoma ila wengine waliandika nafikiri babra na hao kina pj pamoja na hando
Wanazengo nipen miez minne tu nabeba mimba ya mwachi 🤣🤣
Sent from my iPhone using JamiiForums
kama ww mweupe soko lako lipo kwa under 25...wanataka wakuosha naye sura😊😊finyu saaaana
Unakosea mkuu kwenye color wengi wanaprefer blak..mweupe akiwa na hela ule udhaifu inafunikwa na pesa😂😂😂😂..sasa uwe mweupe manyodo kama yote inajiona umezaliwa uesiei pesa huna..khaa itakupasa ujibebeKweli wanawake hawaelewi wanataka nini,
Mara wanataka mwanaume mweupe
Mara wanataka mwanaume mweusi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daah acha basi dharau, thinking capacity ya mtu unaipima kwa kuangalia majukwaa anayotembelea mbona hata huko siasani kuna watu wana akili ndogo hadi unajiuliza hivi aliyeandika comment hii ni mtu mzima au mtoto?Ndiyo ila uwa sitaki ku comment sana sababu thinking capacity za watu majukwaa haya siyo kama kule Jukwaa letu