Ndo nimeona now pia , yeye ndo ka copy , angalia hii thread nimepost lini na yeye kapost lini Ndo utapata majibu
Watu humu wanajua vizur mwandiko wangu , Mara nyingi sana insta wanaiba content zangu , hata shigongo nae mpaka kwenye magazeti yake alikua anaandika umbea wangu
Binamu ukisikia warumi kimbia , Jina kubwa hili mjini , wadau wa umbea wote wananijua , lol
Huyo duller ka copy kila kitu , tena ka edit , Mimi nilimwita Mwasi yeye ndo kaandika Jina lake vzur mwachi , ahah
Sent from my iPhone using JamiiForums