britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Hahaha[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji849][emoji849][emoji849]...
Mmmmmh we mhaya una shida sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji849][emoji849][emoji849]...
Mmmmmh we mhaya una shida sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni zaidi ya 30 piga mahesabu vizuri, Ruge alikuwa sekondari mwaka gani. Kukusaidia ni1988 kurudi nyumaSisifiagi wanaume under 30, ila nakuhakikishia mwanaume mweusi anaejipenda anaejua kuvaa ana mvuto kiwango cha TBS
Nb wanaume type ya mtoto wa ruge ndio wenye mvuto dunia hasa akiwa above 30
Wanataka pesa na maisha ya uhakika hizi zingine burudani tu.Kweli wanawake hawaelewi wanataka nini,
Mara wanataka mwanaume mweupe
Mara wanataka mwanaume mweusi
😂😂😂😂😂mie yule hata hamu zitaisha aisee
Hahaha ni hatari ukishinda jukwaa hili udaku mwingi sana😂😂hku nami nadra..ila kiukweli mtoto mzuri huyu...unataman ukalee tu😂😂😂
Haha na nyie over 25 hamnaga soko eti mana wadau wanachukua watoto wabichi wabichi...tena beware kuna form 6 wanamaliza may apo kesho kutwa tu
naona leo kimekutachi best..pole..hii ni chitchat potezea mkuuInaonekana wewe ni mweusi mana hakunaga wanawake desperate kama wale weusi...yani utaskia " I'm so proud of my color" hapo hajaulizwa
kuwa mpole jf ni msitu usikusumbue hakuna u siriaz wowote ni mbwembwe tu
warumi
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha kifupi ni kwamba wewe huwezi kuona u-handsome wa mwanaume mwenzio na usije ukajiangalia kwenye kioo ukaona unamzidi sisi wanawake ndio tutajua kuwa unamzidi au la na kukata mzizi wa fitna weka picha yako tulinganishe [emoji23][emoji23]Mi jinsia yangu ni STRAIGHT As Fak!... make No mistake about that.
And Mi naona wanaume wengi We are far better than that!....
ila kama huyo jamaa anafall kwenye category ya mandsome then ni habari njema kwetu sisi wanaume....
maana apa naangalia kama uyo jamaa ni handsome well mi si ntakua the most handsome sasa???
Wanawake wa jamii wengi si mpo kwenye Menopause plus mna rejections nyingi kwa wanaume so apo inakua kama kipofu kaona mwezi........
Yani uyo ata nikimkuta na demu wangu simchukulii kama ni threat hata kidogo
Hasa wewe nusu muairish afu unaponda rangi mi nilijuwa wewe bloodline.
Haha haha ha. Umeua mkuuNawewe inaonekana umri umeshakwenda na huna mwanaume mwenye dalili za kukuoa,unajua kabisa wanaume weupe hawawezi kuoa mwanamke mwenye mapengo lazima atapata chombo
Ndo ukweli huo sasa.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana najua siwezi kuona and indeed i was not looking to see...Haha kifupi ni kwamba wewe huwezi kuona u-handsome wa mwanaume mwenzio na usije ukajiangalia kwenye kioo ukaona unamzidi sisi wanawake ndio tutajua kuwa unamzidi au la na kukata mzizi wa fitna weka picha yako tulinganishe [emoji23][emoji23]
Menopouse has nothing to do with this my dear, kwani huyo kijana katangaza kutuoa hadi useme tunampapatikia ili tuolewe? Ni kwamba tunasema kile kinachoonekana na kumbuka Jf is the only place where we dare to speak openly sasa kama ukweli wetu umekuumiza pole
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo unanisaidia sana hii ni chitchat tu ..mbona wenyewe wana uzi wao ule wa wadada wakali hatusemi..khaa!eti anahis kila mwanamke desperate..oh tumeenda age hatuna wakutuoa😂😂😂😂..!WATUwanaftafuta hela yy anawaza kuolewa😊😊!hajui watu wana kismatHaha kifupi ni kwamba wewe huwezi kuona u-handsome wa mwanaume mwenzio na usije ukajiangalia kwenye kioo ukaona unamzidi sisi wanawake ndio tutajua kuwa unamzidi au la na kukata mzizi wa fitna weka picha yako tulinganishe [emoji23][emoji23]
Menopouse has nothing to do with this my dear, kwani huyo kijana katangaza kutuoa hadi useme tunampapatikia ili tuolewe? Ni kwamba tunasema kile kinachoonekana na kumbuka Jf is the only place where we dare to speak openly sasa kama ukweli wetu umekuumiza pole
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha wanaume wote wako kama huyo? It can't be...mkuu tulia sisi wanawake ndio tunajua ubishi wako unanilazisha nikuulize jinsia yako. Hivi wewe hujiulizi wanawake karibu wote wamekubaliana na mtoa mada ila wanaume ndio wamekomaa kupinga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi kimenitouch? Mimi huyo? I never take this life serious, let alone you.![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
naona leo kimekutachi best..pole..hii ni chitchat potezea mkuu
Mi jinsia yangu ni STRAIGHT As Fak!... make No mistake about that.
And Mi naona wanaume wengi We are far better than that!....
ila kama huyo jamaa anafall kwenye category ya mandsome then ni habari njema kwetu sisi wanaume....
maana apa naangalia kama uyo jamaa ni handsome well mi si ntakua the most handsome sasa???
Wanawake wa jamii wengi si mpo kwenye Menopause plus mna rejections nyingi kwa wanaume so apo inakua kama kipofu kaona mwezi........
Yani uyo ata nikimkuta na demu wangu simchukulii kama ni threat hata kidogo
Pole ww sasa...mana me ata nikifika umri wa Mengi yule Reginald bado naweza kuopoa mtoto mkaree kama Kylyn ila ww apo saivi uko kwnye menoP so na ivo huna ela..hupati ata ben10 wa kukuliwaza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaan kama kukupa pole bas naomba nikupe pole..!
Yaani walaji wanasema chakula kitamu wewe usitekila unasema sio,
Mkuu vipi mbona unatupa mashaka sasa wenzio