Mtoto wa Ruge ni shidaa...

Unakosea mkuu kwenye color wengi wanaprefer blak..mweupe akiwa na hela ule udhaifu inafunikwa na pesa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚..sasa uwe mweupe manyodo kama yote inajiona umezaliwa uesiei pesa huna..khaa itakupasa ujibebe

Basi huku africa hasa tanzania wanaume weusi tungekua tunagombaniwa
 
Relax naona.limekushika balaa.hii ni chitchat tu..huyu anaeandika hapa hubby yake mwenyewe ukimuonaa ..hahhaa january mweusi..!relax

Haaahaaa Unajua kwenye utani ndio huwa unapatikana ukweli nusu na uongo nusu
 
Huyu kaka muweke yuke Baraka wa dstv muweke na huyu Mwachi alafu weka wanawake 100 waende kwa wanayemfeel..90 wataenda kwa mwachi!unataka kumfananisha mwachi na vitu vya kijinga eh
Baraka wa dstv ndo nani tena? Unaongea as if tuna common interest basi.....

Im straight AF ila kama uyo wanawake wanamuona handsome then iyo ni good news kwa wanaume wengi
 
NImeona post kama hiihii instagram kwa dulla_square , kwanini unacopy na kupaste?

Write your reply...

Ndo nimeona now pia , yeye ndo ka copy , angalia hii thread nimepost lini na yeye kapost lini Ndo utapata majibu

Watu humu wanajua vizur mwandiko wangu , Mara nyingi sana insta wanaiba content zangu , hata shigongo nae mpaka kwenye magazeti yake alikua anaandika umbea wangu

Binamu ukisikia warumi kimbia , Jina kubwa hili mjini , wadau wa umbea wote wananijua , lol


Huyo duller ka copy kila kitu , tena ka edit , Mimi nilimwita Mwasi yeye ndo kaandika Jina lake vzur mwachi , ahah


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Duller ndio zake mbona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawewe inaonekana umri umeshakwenda na huna mwanaume mwenye dalili za kukuoa,unajua kabisa wanaume weupe hawawezi kuoa mwanamke mwenye mapengo lazima atapata chombo
Haha umeona eeh uyo atakua ni mweusi kweli kweli ila sio mweusi mzuri type ya lupita nyongo
 
Unakosea mkuu kwenye color wengi wanaprefer blak..mweupe akiwa na hela ule udhaifu inafunikwa na pesa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..sasa uwe mweupe manyodo kama yote inajiona umezaliwa uesiei pesa huna..khaa itakupasa ujibebe
Inaonekana umepata sana rejection nyingi za wanaume weupe ndo mana una so much hatred!
 
Dada alikuwa poa sana yule .Kilimpata kitu gani .Ndio sasa ana Mzungu wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yan Mimi ningekua na page za umbea insta , ningekua na follower mil 10, yan ningekua napiga pesa za matangazo hatar , maana najijua Mimi mbea halafu umbea naupatia mpaka kumoyo mtu una feel , ahahah lol


Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwa nini usifanye hivyo sasa binamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ