Mtoto wa Ruge ni shidaa...

Haha kifupi ni kwamba wewe huwezi kuona u-handsome wa mwanaume mwenzio na usije ukajiangalia kwenye kioo ukaona unamzidi sisi wanawake ndio tutajua kuwa unamzidi au la na kukata mzizi wa fitna weka picha yako tulinganishe [emoji23][emoji23]
Menopouse has nothing to do with this my dear, kwani huyo kijana katangaza kutuoa hadi useme tunampapatikia ili tuolewe? Ni kwamba tunasema kile kinachoonekana na kumbuka Jf is the only place where we dare to speak openly sasa kama ukweli wetu umekuumiza pole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo ukweli huo sasa.

Kuna demu moja la kihaya jeusi sema lina ushuzi atari nilikua nadate nalo....

basi lipo so insecured yani kila ukiwa naye utaskia bby u like my color? Bby ex wako walikua weupe au weusi? Bby unapenda girls weusi? Bby im so proud of my color, bby tukizaa mtoto atatoka kama chocolate awww cnt wait[emoji848][emoji848][emoji848]

Siku iyo nikalipiga squirt likamwaga maji mithili ya river congo then nikalipiga chini halikuamini macho yake....

Yani mademu weusi na wanene ni shida sana kudate watu kama hao ....wako so insecured...yani haamini kama uko nae!
 
Hapana najua siwezi kuona and indeed i was not looking to see...

Ila kuna vitu vingine unajikuta umeona tu no matter how blind u are!

Mbon picha yangu ipo ...wewe tu...though nimeongea fact na sio kulinganishwa na mtu yoyote....
 
Dogo unanisaidia sana hii ni chitchat tu ..mbona wenyewe wana uzi wao ule wa wadada wakali hatusemi..khaa!eti anahis kila mwanamke desperate..oh tumeenda age hatuna wakutuoa😂😂😂😂..!WATUwanaftafuta hela yy anawaza kuolewa😊😊!hajui watu wana kismat
 

They don't know what women want from a man . Wanadhan mwanaume ukiwa mzuri sana basi Ndo wanawake wanakupapatia

Mwachi kasimama, he is a package ya mwanaume bwana. Yani Ana sura na mvuto wa kiume

Bahati nzuri Mimi sio mwalimu mzuri wa kufafanua vitu kwa undani, Ila wajue tu mwachi Ana vitu vingi ambavyo wanawake wengi wanavitaka kwa mwanaume.

Nataman kulia warumi mie jaman, Ila Mimi nae , umbea Mimi , umalaya Mimi 🤣🤣🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Yaani walaji wanasema chakula kitamu wewe usitekila unasema sio,

Mkuu vipi mbona unatupa mashaka sasa wenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…