Mtoto wa Ruge ni shidaa...


Wanaume wa jf wanaona wivu , lol , wasije wakanitekea mwachi mie , maana Ma povu yamewatoka hatari

Ni kweli hawawezi kuona tunachokiona, ni wanawake wachache tuliobarikiwa kuwa na jicho la tatu kuona uzuri wa mwanaume upo wapi

Nasema hvi , warumi na umbea wangu , nikimpata mwachi , umbea naacha, naenda kulea mume 🤣🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Pole ww sasa...mana me ata nikifika umri wa Mengi yule Reginald bado naweza kuopoa mtoto mkaree kama Kylyn ila ww apo saivi uko kwnye menoP so na ivo huna ela..hupati ata ben10 wa kukuliwaza


😂😂😂😂😂wanichoma kumoyo..!yaan mie hta salamu sisalimiwi...!naanza jifunza kutongoza humu aisee...narudia tena ukisikia kina pimbi anataka mwanamke alert me
 

Wanaona wivu tunampa airtime mwachi , watajiju. lol ahahah


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yaani walaji wanasema chakula kitamu wewe usitekila unasema sio,

Mkuu vipi mbona unatupa mashaka sasa wenzio
Ukiona mwanaume anaongea na dada zako relax usiwe na kiherehere utakuja kupigwa fingers...

My point was and still is, kama uyo jamaa ni handsome then wanaume karibu wote ni mahandsome...

Usipende kushoboka mbele za wakike...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanichoma kumoyo..!yaan mie hta salamu sisalimiwi...!naanza jifunza kutongoza humu aisee...narudia tena ukisikia kina pimbi anataka mwanamke alert me
Ata uyo Pimbi humpati mana Pimbi japo andunje ila naye anataka mtoto mkaree na sio mwenye mwanya kama Pengo ..simaanishi yule Pengo ambaye ni Kadinali
 
Ukiona mwanaume anaongea na dada zako relax usiwe na kiherehere utakuja kupigwa fingers...

My point was and still is, kama uyo jamaa ni handsome then wanaume karibu wote ni mahandsome...

Usipende kushoboka mbele za wakike...

Hata kwa bahati mbaya tu nikikuta mwananaume anaongelea uzuri wa mwanaume mwenzio faster namhalalisha kwa KIRINGO mlamba mwiko
 
Nawashukuru sana wanachichat,yaani nafanya kazi zangu kwenye PC huku app ya JF ikiwa on,kazi zikinizingua narefresh kichwa humu kwa kupata habari za mars na pluto zisizokuwa na kichwa wala miguu yaani ni burudani tupu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waache wamwagike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] povu linawatoka hataree yaani mimi nashangaa mbona wao wakisema demu mzuri huwa tunawaacha wabishane wao kwa wao khaa wanaume wana wivu jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawashukuru sana wanachichat,yaani nafanya kazi zangu kwenye PC huku app ya JF ikiwa on,kazi zikinizingua narefresh kichwa humu kwa kupata habari za mars na pluto zisizokuwa na kichwa wala miguu yaani ni burudani tupu.
Umenifanya ni comment humu yaani mimi mwenyewe hapa nacheka kama mwehu .
Kuna mwingine anataka kumuuza mwenzake kwa Kiringo yule mzenji anayetafuna wanaume kama senene.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…