Mnazareth
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 3,474
- 7,404
Hahah hvi ulijua ni mwenzenu.[emoji23][emoji23][emoji39]kumbe yule ni men???duh..
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah hvi ulijua ni mwenzenu.[emoji23][emoji23][emoji39]kumbe yule ni men???duh..
Hahahahha hatariii😂😂😂😂😂😂😂😂 nacheka km mazuri...na mhaya tena..full Ruvu
😂😂😂...sitaki kesi nasinzia mie
Sasa nikikupenda kumbe dume mwenzangu si nitaumbuka mie, Warumi nakuelewa kinoma, God forbid, naomba uwe wa kike!Wewe nipende tu binamu , mambo ya jinsia niachie
Sent from my iPhone using JamiiForums
We na ww unajipooza tu apo ina mana kuna Stanley wa kike siku izi?
Au Menstrual Cramps zinakupa mawenge mawenge?
dah marehemu alikuwa kiwembe haswa .....bora ameenda kupumzisha mshipa maana wangeumia wengi.
Kumbe mnapenda American height ...njoo baby nikutulizeTuseme hilo body hujaliona kabisa? Ile sauti je? Huyu mtoto ana haiba zote za kiume kumpagawisha mwanamke yeyote kimtazamo
Mweusi, mrefu, kifua sasa, sauti nzito sura sio ngumu saaana wala sio nzuri
Physically ni bonge la dude
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhahahahahaa..mnawaumiza watu huku jaman khaa huyo ametishaKuna mdau alisema picha yake
mwachi ataombea mkopo crdb😁😁😁😁😁
Yaani wewe lazma ni mweupe umeumia huyu kijana kusifiwa...Ndo ukweli huo sasa.
Kuna demu moja la kihaya jeusi sema sina ushuzi atari nilikua nadate nalo....
basi lipo so insecured yani kila ukiwa naye utaskia bby u like my color? Bby ex wako walikua weupe au weusi? Bby unapenda girls weusi? Bby im so proud of my color, bby tukizaa mtoto atatoka kama chocolate awww cnt wait[emoji848][emoji848][emoji848]
Siku iyo nikalipiga squirt likamwaga maji mithili ya river congo then nikalipiga chini halikuamini macho yake....
Yani mademu weusi na wanene ni shida sana kudate watu kama hao ....wako so insecured...yani haamini kama uko nae!
Jisogezeni basi awachapenaoUnafiki pembeni
Hata mie nimempenda sana tu huyo Mwachi ....anavutia jamani,sanaaa
Kumbe wewe ni SHE..View attachment 1038691
Ila wanazengo huyu mtoto mkubwa wa Ruge ni handsome. Yaani tangu nimuone siku ile akitangaza wasifu wa marehemu mi nilikua hoi mwenzenu, hata sisikilizi namuangalia tu alivyokua mashalah.
Mzuri mwenyewe halafu anaonekana mpole. Hawa ndo wazuri unawapanda kichwani na amefanana na baba ake mwenyewe Ila Mwachi handsome kumzidi baba yake.
Sijui nitampatia wapi wanazengo nimdangie na sasa hivi atakuwa na hela za rambirambi za kutosha tu.
Bongo movie kama nawaona wanavyommendea, na nitawaroga mwaka huu na kujirahisisha kwenu.
Na usikute akina Zamaradi walikuwa hawajui kama Ruge ana mtoto mkubwa vile, maana suala la urithi pale wasahau Mwachi wangu ndo anashika usukani. Akina Juju wataambulia kusomeshwa tu, kwanza mama yao kaolewa ataisoma namba.
Au ndo wataanza kumdanga na mtoto wa marehemu, maana Mwachi analipa bwana, yule hata bure mi nakubali.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Dah ww hatari sana.... comments za kule juu wamekutikisa tikisa.....huku chini umekuja kuwabinua kabisa...balaaUmeona eeh , mwachi mwanaume bhana , sio kama akina Calisah waramba lipsi, na anaonekana yuko vzur Sita kwa sita, akikubinua huchomoki, aaaah
Sent from my iPhone using JamiiForums
Unaona sasa hata kiringo sijui ndo nini au nani.Umenifanya ni comment humu yaani mimi mwenyewe hapa nacheka kama mwehu .
Kuna mwingine anataka kumuuza mwenzake kwa Kiringo yule mzenji anayetafuna wanaume kama senene.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui dula ndo warumiii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]NImeona post kama hiihii instagram kwa dulla_square , kwanini unacopy na kupaste?
Write your reply...
HahaAA!angejua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umejuaje mkuu[emoji23][emoji23]..ukisikia huko muoaji nisaidie unisitiri
Ndo ukweli huo sasa.
Kuna demu moja la kihaya jeusi sema sina ushuzi atari nilikua nadate nalo....
basi lipo so insecured yani kila ukiwa naye utaskia bby u like my color? Bby ex wako walikua weupe au weusi? Bby unapenda girls weusi? Bby im so proud of my color, bby tukizaa mtoto atatoka kama chocolate awww cnt wait[emoji848][emoji848][emoji848]
Siku iyo nikalipiga squirt likamwaga maji mithili ya river congo then nikalipiga chini halikuamini macho yake....
Yani mademu weusi na wanene ni shida sana kudate watu kama hao ....wako so insecured...yani haamini kama uko nae!
Sanaa tu nakumbuka kipindi hichoooo!!!!!Ndo nimeona now pia , yeye ndo ka copy , angalia hii thread nimepost lini na yeye kapost lini Ndo utapata majibu
Watu humu wanajua vizur mwandiko wangu , Mara nyingi sana insta wanaiba content zangu , hata shigongo nae mpaka kwenye magazeti yake alikua anaandika umbea wangu
Binamu ukisikia warumi kimbia , Jina kubwa hili mjini , wadau wa umbea wote wananijua , lol
Huyo duller ka copy kila kitu , tena ka edit , Mimi nilimwita Mwasi yeye ndo kaandika Jina lake vzur mwachi , ahah
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wanawake utawaweza basi,yani anaweza penda likitu la ajabu ila mwenyewe rohoni anahisi kama yuko na chrisbrown hivi!HUYO NAYE NI HANDSOME MBONA MTU MWENYEWE BLACK SANAA. AMA WENGINE TUNA MAKENGEZA.