Mtoto wa Ruge ni shidaa...

Mtoto wa Ruge ni shidaa...

Kuna kipindi bina ulianzisha nakumbuka ukaacha kabisaaa
Yan Mimi ningekua na page za umbea insta , ningekua na follower mil 10, yan ningekua napiga pesa za matangazo hatar , maana najijua Mimi mbea halafu umbea naupatia mpaka kumoyo mtu una feel , ahahah lol


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah ww hatari sana.... comments za kule juu wamekutikisa tikisa.....huku chini umekuja kuwabinua kabisa...balaa

Hawa hawaniwez hata kidogo , nawapaga tu chance wajishaue dakika mbili , nikirud basi hawapumui


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
View attachment 1038691
Ila wanazengo huyu mtoto mkubwa wa Ruge ni handsome. Yaani tangu nimuone siku ile akitangaza wasifu wa marehemu mi nilikua hoi mwenzenu, hata sisikilizi namuangalia tu alivyokua mashalah.

Mzuri mwenyewe halafu anaonekana mpole. Hawa ndo wazuri unawapanda kichwani na amefanana na baba ake mwenyewe Ila Mwachi handsome kumzidi baba yake.

Sijui nitampatia wapi wanazengo nimdangie na sasa hivi atakuwa na hela za rambirambi za kutosha tu.


Bongo movie kama nawaona wanavyommendea, na nitawaroga mwaka huu na kujirahisisha kwenu.

Na usikute akina Zamaradi walikuwa hawajui kama Ruge ana mtoto mkubwa vile, maana suala la urithi pale wasahau Mwachi wangu ndo anashika usukani. Akina Juju wataambulia kusomeshwa tu, kwanza mama yao kaolewa ataisoma namba.

Au ndo wataanza kumdanga na mtoto wa marehemu, maana Mwachi analipa bwana, yule hata bure mi nakubali.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Naona unamendea mirathi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndo ukweli huo sasa.

Kuna demu moja la kihaya jeusi sema sina ushuzi atari nilikua nadate nalo....

basi lipo so insecured yani kila ukiwa naye utaskia bby u like my color? Bby ex wako walikua weupe au weusi? Bby unapenda girls weusi? Bby im so proud of my color, bby tukizaa mtoto atatoka kama chocolate awww cnt wait[emoji848][emoji848][emoji848]

Siku iyo nikalipiga squirt likamwaga maji mithili ya river congo then nikalipiga chini halikuamini macho yake....

Yani mademu weusi na wanene ni shida sana kudate watu kama hao ....wako so insecured...yani haamini kama uko nae!
Eti awwww can't wait[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]...nawasikitikia mademu zako, full kuponda daaah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mnatumia akili nyingi kujadili vitu they were meant to be funny!
warumi akiwa mwanaume au mwanamke inakusaidia au kukuathiri nini?
akiwa shoga au mpunga au mchicha mwiba we inakupunguzia nini?
Yani kuna vitu waja mnahangaika navyo maskini mpk mnasahau hii ni cyber world tu!
YEYOTE ANAWEZA KUWA YEYOTE KULINGANA NA CHOCHOTE ALICHOPANGA KUTUMIA KWENYE ULIMWENGU HUU!
sidhani kama miongoni mwa matatizo yako uliyonayo mojawapo ni kujua jinsia ya warumi
TUNAMPENDA NA AINA YAKE HII YA UANDISHI!
hayo mengine hayatuhusu kabisa!
sisi tunaomfurahia na huu ubuyu, wala hatusumbui!
NYIE MNAOKATIZA HUKU KAMA MNAKIMBILIA CHOO CHENYE NGAZI, saaaasaaaa?
PSYUUUUUUUUUUUUUUU

😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom