Mi jinsia yangu ni STRAIGHT As Fak!... make No mistake about that.
And Mi naona wanaume wengi We are far better than that!....
ila kama huyo jamaa anafall kwenye category ya mandsome then ni habari njema kwetu sisi wanaume....
maana apa naangalia kama uyo jamaa ni handsome well mi si ntakua the most handsome sasa???
Wanawake wa jamii wengi si mpo kwenye Menopause plus mna rejections nyingi kwa wanaume so apo inakua kama kipofu kaona mwezi........
Yani uyo ata nikimkuta na demu wangu simchukulii kama ni threat hata kidogo