Mwamba anaonyesha chuki live
Sema mnakera sana basi mwambie hata jina lake la jf lefu zuri linawalowanisha
Sio kila jina unisex linafit mazingira ya kibongo bongo...kama huamini muite mtoto wako wa kiume "BRENDA" uone kama watoto wenzake hawataongezea "FASSIE" ili ajulikane kama "BRENDA FASSIE".Hata mwanaume yupo kci & jojo ( jodeci) ,pia kumbuka kuna majina unisex , eg Jordan, Ashley , bahati,Alexis etc
Wadada waliokomaa sio wa kuwaskiliza sana maana wako desperate sana umri umeenda so akiona hata jiwe anaweza kusema ni adhabu....Tatizo nyie uhensam mnautafsiri kwa upande wa sura nzuri kitu ambacho sivyo
Huyu sura yake ni ya kawaida ya kiume
Kifua anacho
Rangi nyeusi iliyotulia
Sauti nzito
Urefu wastani
Kajikuta combi yake imebalance ndo maana sasa tunamuita hensam
Na maoni hayo mengi yameletwa na wadada waliokomaa/ matured
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unategemea mwanaume ahonge matured lady kama wewe wakati kuna mabinti wabichi wabichi wako vidato???
Unaonekana ww ni mchele mchele....acha tabia kama za shangazi yakoMwamba anaonyesha chuki live
Sema mnakera sana basi mwambie hata jina lake la jf lefu zuri linawalowanisha
Uniudhi mimi?? Hivi we unajitambua kweli?Hebu nisaidie kumshangaa kidogo nimwambie hivyo nikaona ntamuudhi
Sent using Jamii Forums mobile app
Cha ajabu wanaume weupe kama kina Idris, huyo kalisa ndo wanaongoza kuwa followed zaidi na wanawake. Haha wanawake mna kipaji cha hypocrisyWanaume weupe? Ndo nasikia kwako au utakuwa unapiga story na vitoto wewe maana hao hutafuta baby face
Fanya utafiti kwa wanawake kuanzia 27 kupanda halafu rudi unipe matokeo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ruge ana 49 so mtoto hawazi kuzidi 30 INA maana alimzaa akiwa sec?
You don't sound like halfcaste hebu tuma picha yako tuthibitisheEti awwww can't wait[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]...nawasikitikia mademu zako, full kuponda daaah!
Sent using Jamii Forums mobile app
Cha ajabu wanaume weupe kama kina Idris, huyo kalisa ndo mna wanaongoza kuwa followed zaidi na wanawake. Haha wanawake mna kipaji cha hypocrisy
siku zote najua huyu jamaa ni Mwanamume flani mpenda habari za wasanii.
Poa!Nisome vizuri, nilitaka kuweka FACT clear kuhusu post yako kwamba hajawahi kutamka jinsia.
Otherwise niko fine, nafatilia kimya kimya thread zake, na hii nimechangia kwa sababu nimekuona.
Vipi ulikumbuka kuuliza kuhusu kitabu cha The Concubine?
ahahahhahahahahhaa kwanini lakini unanitaabisha hivi?Idris na Calisah sio weupe binamu , halafu ebu waondoe kwenye list ya wanaume , hakuna mwanaume apo [emoji483]. Sitaki Ma swali mengi mm
Sent from my iPhone using JamiiForums
Poa!
Nilikifuma mahali aseee!
Nenda ELITE books, kule Quality center Nyerere road, ningekuwa na namba yako ya simu ningekupigia iwapo nikuchukulie!
But nenda hapo!
Kipo
Vipo kibao pale, napaandalia tu kibubu cha kila mwezi African piece moja!Shukrani, nitaenda Jumamosi.
Vitabu vingi ambavyo ni African Prints huwezi pata soft copy, ni lazima udili na hard copies.
Asante aisee.
Bcuz they dont want you so unakua preProtective to save yo ass from embarrassment!Sijawahi na sitegemei kumpa tamu mwanaume mweupe
Naanzaje labda?
Wanaume weusi ni deal mjini
Sent using Jamii Forums mobile app