Mtoto wa Ruge ni shidaa...

Mtoto wa Ruge ni shidaa...

We nae kirigi chako kwani hakuna wanaume weupe
Tumejuaje kama kuna weusi

[QUOTEduniani?kapeace, post: 30643434, member: 435481"]Wanaume weupe? Ndo nasikia kwako au utakuwa unapiga story na vitoto wewe maana hao hutafuta baby face

Fanya utafiti kwa wanawake kuanzia 27 kupanda halafu rudi unipe matokeo

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]
 
Hata mwanaume yupo kci & jojo ( jodeci) ,pia kumbuka kuna majina unisex , eg Jordan, Ashley , bahati,Alexis etc
Sio kila jina unisex linafit mazingira ya kibongo bongo...kama huamini muite mtoto wako wa kiume "BRENDA" uone kama watoto wenzake hawataongezea "FASSIE" ili ajulikane kama "BRENDA FASSIE".

nakuambia kwa experience yangu mana kuna jamaa tulisoma nae High School back in them days...
Jina lake ni "HILLARY" guess what? Believe it o not, mpaka tunamaliza vidato jina lake maarufu ni "HILLARY CLINTON"....

Kuna wanaharamu wengine mpaka walidiriki kumuita eti a.k.a "Secretary of State"!...

So beware wa hayo majina ya kwenye tamthililya aka unisex!
 
Tatizo nyie uhensam mnautafsiri kwa upande wa sura nzuri kitu ambacho sivyo

Huyu sura yake ni ya kawaida ya kiume

Kifua anacho

Rangi nyeusi iliyotulia

Sauti nzito

Urefu wastani

Kajikuta combi yake imebalance ndo maana sasa tunamuita hensam
Na maoni hayo mengi yameletwa na wadada waliokomaa/ matured

Sent using Jamii Forums mobile app
Wadada waliokomaa sio wa kuwaskiliza sana maana wako desperate sana umri umeenda so akiona hata jiwe anaweza kusema ni adhabu....

Yani wamesahau kua sio kila king'aacho ni dhahabu!
 
Wanaume weupe? Ndo nasikia kwako au utakuwa unapiga story na vitoto wewe maana hao hutafuta baby face

Fanya utafiti kwa wanawake kuanzia 27 kupanda halafu rudi unipe matokeo

Sent using Jamii Forums mobile app
Cha ajabu wanaume weupe kama kina Idris, huyo kalisa ndo wanaongoza kuwa followed zaidi na wanawake. Haha wanawake mna kipaji cha hypocrisy
 
Cha ajabu wanaume weupe kama kina Idris, huyo kalisa ndo mna wanaongoza kuwa followed zaidi na wanawake. Haha wanawake mna kipaji cha hypocrisy

Idris na Calisah sio weupe binamu , halafu ebu waondoe kwenye list ya wanaume , hakuna mwanaume apo [emoji483]. Sitaki Ma swali mengi mm


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nisome vizuri, nilitaka kuweka FACT clear kuhusu post yako kwamba hajawahi kutamka jinsia.

Otherwise niko fine, nafatilia kimya kimya thread zake, na hii nimechangia kwa sababu nimekuona.

Vipi ulikumbuka kuuliza kuhusu kitabu cha The Concubine?
Poa!
Nilikifuma mahali aseee!
Nenda ELITE books, kule Quality center Nyerere road, ningekuwa na namba yako ya simu ningekupigia iwapo nikuchukulie!
But nenda hapo!
Kipo
 
Idris na Calisah sio weupe binamu , halafu ebu waondoe kwenye list ya wanaume , hakuna mwanaume apo [emoji483]. Sitaki Ma swali mengi mm


Sent from my iPhone using JamiiForums
ahahahhahahahahhaa kwanini lakini unanitaabisha hivi?
 
Poa!
Nilikifuma mahali aseee!
Nenda ELITE books, kule Quality center Nyerere road, ningekuwa na namba yako ya simu ningekupigia iwapo nikuchukulie!
But nenda hapo!
Kipo

Shukrani, nitaenda Jumamosi.

Vitabu vingi ambavyo ni African Prints huwezi pata soft copy, ni lazima udili na hard copies.

Asante aisee.
 
Back
Top Bottom