Huwa napata wasiwasi sana mwanaume akipinga au kukubali kuhusu u-handsome au u-kibamia wa mwanaume mwenzio,
Wadada ndo wanajua nini wanataka mzee
Ni kama sisi wanaume tunavyowachambuaga watoto wa kali
Sioni sababu ya wewe kupinga mwamba ni handsome
Waache wadada wamdadavue
Hapa nashangaa !kuna mdada anaitwa Phina Mango aliwahi kuwa na Ruge km Miaka 10 Hivi na kuendelea.tena walianzana kipindi Ruge karudi tu toka mtoni US.
Ruge na moka zake nyeupe na suti nyeupe Benzi jeupe namkumbuka mimi miaka yetu Kinondoni analetwa sana uswazi na huyu binti.
Sijui km walizaa ila walikua pamoja mda mrefu tu.phina alijiondokea Kimya kimya na kazi akaacha Faces international kampuni yao wakati ule akaja kuolewa miaka ya juzi hapa na mzungu.
Simuoni hata kusema anamjua jamaa.
Ka move on kimya kimya,hata shobo hana ila anajua kilichompata.
Hyo ni inborn trait ambayo akizaliwa tu anakua nayo, harithi kama.mikoba.
Tuseme hilo body hujaliona kabisa? Ile sauti je? Huyu mtoto ana haiba zote za kiume kumpagawisha mwanamke yeyote kimtazamo
Mweusi, mrefu, kifua sasa, sauti nzito sura sio ngumu saaana wala sio nzuri
Physically ni bonge la dude
Sent using Jamii Forums mobile app
Babuuuuu!Hapa nashangaa !kuna mdada anaitwa Phina Mango aliwahi kuwa na Ruge km Miaka 10 Hivi na kuendelea.tena walianzana kipindi Ruge karudi tu toka mtoni US.
Ruge na moka zake nyeupe na suti nyeupe Benzi jeupe namkumbuka mimi miaka yetu Kinondoni analetwa sana uswazi na huyu binti.
Sijui km walizaa ila walikua pamoja mda mrefu tu.phina alijiondokea Kimya kimya na kazi akaacha Faces international kampuni yao wakati ule akaja kuolewa miaka ya juzi hapa na mzungu.
Simuoni hata kusema anamjua jamaa.
Ka move on kimya kimya,hata shobo hana ila anajua kilichompata.
mbona me naona anasura ngumu tu
Hata Mimi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wa kiume anaitwa juju.. Wakike shubi.nahisi ni kokushubi
Kama unataka uhakikishe hata wewe unaweza mpatia then utakuja kuniambia
Sent from my iPhone using JamiiForums
Fina na Masoud walitangaza kipindi kimoja pale CLOUDS "MORNING JAM (km sijakosea kabla hakijaitwa PB) Na walikumbwa ote na lile sakata la US EMBASSY INTERVIEW kisha wakafukuzwa Kazi pamoja!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa kiume anaitwa juju.. Wakike shubi.nahisi ni kokushubi
Nimependa hii tabia ya ruge kuenzi majina yake ya asili...ukiangalia hadi kwao wote majina ya asili
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa Zamaradi wa kiume anaitwa Rusels aka JUJU wa kike Shubi, huyu wa kume aka ndio imekolea kuliko jina halisi.