Mtoto wa Ruge ni shidaa...

Mtoto wa Ruge ni shidaa...

Huwa napata wasiwasi sana mwanaume akipinga au kukubali kuhusu u-handsome au u-kibamia wa mwanaume mwenzio,

Wadada ndo wanajua nini wanataka mzee

Ni kama sisi wanaume tunavyowachambuaga watoto wa kali

Sioni sababu ya wewe kupinga mwamba ni handsome

Waache wadada wamdadavue

Kama unataka uhakikishe hata wewe unaweza mpatia then utakuja kuniambia

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Fina na Masoud walitangaza kipindi kimoja pale CLOUDS "MORNING JAM (km sijakosea kabla hakijaitwa PB) Na walikumbwa ote na lile sakata la US EMBASSY INTERVIEW kisha wakafukuzwa Kazi pamoja!
Hapa nashangaa !kuna mdada anaitwa Phina Mango aliwahi kuwa na Ruge km Miaka 10 Hivi na kuendelea.tena walianzana kipindi Ruge karudi tu toka mtoni US.
Ruge na moka zake nyeupe na suti nyeupe Benzi jeupe namkumbuka mimi miaka yetu Kinondoni analetwa sana uswazi na huyu binti.
Sijui km walizaa ila walikua pamoja mda mrefu tu.phina alijiondokea Kimya kimya na kazi akaacha Faces international kampuni yao wakati ule akaja kuolewa miaka ya juzi hapa na mzungu.
Simuoni hata kusema anamjua jamaa.
Ka move on kimya kimya,hata shobo hana ila anajua kilichompata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmeamua tu kumuoffend warumi
hajawahi kutaja popote jinsia yake!
NA THE FACT ANAWACHANGANYA MUMUHISI NI MWANAUME SHOGA , NI MWANAMKE, NI MWANAUME MCHELEMCHLE!
huo ndo upekee wake!
Sasa binamu ole wako ujiweke hapo af usiwe unanitumi vocha!
NAKUROGA SHINGO IGEUKIE JUU!
psyuuuuuuuuuu na hushindwi kunichinjia baharini wewe nyau!
 
Hapa nashangaa !kuna mdada anaitwa Phina Mango aliwahi kuwa na Ruge km Miaka 10 Hivi na kuendelea.tena walianzana kipindi Ruge karudi tu toka mtoni US.
Ruge na moka zake nyeupe na suti nyeupe Benzi jeupe namkumbuka mimi miaka yetu Kinondoni analetwa sana uswazi na huyu binti.
Sijui km walizaa ila walikua pamoja mda mrefu tu.phina alijiondokea Kimya kimya na kazi akaacha Faces international kampuni yao wakati ule akaja kuolewa miaka ya juzi hapa na mzungu.
Simuoni hata kusema anamjua jamaa.
Ka move on kimya kimya,hata shobo hana ila anajua kilichompata.
Babuuuuu!
Wazee vijana tu ndo tutakuelewa na habari za ndege mNANA
ahahahhahha Ruge ,
ah RUGE shikamooo!
 
Haha mwambie huyo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sure mwanaume unamcheka mwanaume mwenzio eti kibamia umejuaje? Au na weww unaona inapwaya kwa 0713

Siwaelewagi kabisa hawa watu

Kama unataka uhakikishe hata wewe unaweza mpatia then utakuja kuniambia

Sent from my iPhone using JamiiForums

Official sasa wewe ni mwanaume mchele mchele

Siku-quote wewe ila naona imekuingia umeona ujibu
 
Nadhani mleta mada alilenga kumpa ujumbe aliyewahi kuwa mzazi wa marehemu , kusahau swala la mirathi.
 
Back
Top Bottom