Mtoto wa Ruge ni shidaa...


Kilichompataje pataje?Je na yeye Phina Mango tutamsikia yupo South Africa?
 
Fina na Masoud walitangaza kipindi kimoja pale CLOUDS "MORNING JAM (km sijakosea kabla hakijaitwa PB)
Ilikuwa ni Power Breakfast, Morning Jam ni wakati bado Clouds wanatangaza kwa kingereza, alikuwepo Jimmy Kabwe na Seven.
 

Interview ilifanyika

Ili kilichotokea ilikuwa ni ubovu wa mic so wakawa wanatumia mic moja watangazaji wote huku moja akitumia ile nyingine

Walioorudi ofisini wakamind hawa kina masoud kwa uongozi ikatafsiriwa kama ukosefu wa nidhamu wakaambiwa waandike barua za kuomba msamaha masoud na wengine waliofukuzwa wakagoma ila wengine waliandika nafikiri babra na hao kina pj pamoja na hando
 
Ahaa niliangalia siku nyingi nimesahau cc Nifah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani ilikuwaje hiyo hadi ikapelekea kufukuzwa kazi?
Masoud na Fina waligoma kuingia kwenye kipindi siku moja baada ya interview na Balozi wa US, kwa sababu wakati wa yale mahojiano watu wao wa ufundi hawakufanya kazi yao vizuri na interview haikusikika vizuri, mfano alisema walikuwa wakitumia mic moja wote wa3 yaani Masoud, Fina na Balozi.
 
ULIWAZALO KICHWANI NDIO LINALOTOKA MDOMONI? BWANA AKUONYESHE NJIA YA HAKI NA UIFUATE SIO KWA FITNA HIYO UNAYOTAKA KUIFANYA
 

Ahahahaah siwez binamu🤣🤣


Waambie ndugu zako watulie niwape umbea wa mujini , mambo ya jinsia waniachie mwrnyewe


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ahahahaah siwez binamu🤣🤣


Waambie ndugu zako watulie niwape umbea wa mujini , mambo ya jinsia waniachie mwrnyewe


Sent from my iPhone using JamiiForums
Wakuachie kwa kweli maana jinsia imebaki kule leba tu maana wengine hawaingii kuleta viumbe.
 
Kulikuwa na Interview CLOUDS walitaka kufanya na Balozi wa US Embassy, interview ilipaswa kufanyika pale pale US Embassy! Wenye kipindi walikuwa Masoud KP na Fina Mango....(PB)! Ile interview ikapatwa na changamoto ya kutoskika kwa wasilizaji na huku wenyewe nawanaendelea kumhoji Mh. Balozi.... ghafla wakaanza kupata SMS kuwa hamskiki.... team ya CMG iliokuwepo Embassy wakajaribu kupambana kuweka mambo sawa... wakashindwa..... kesho yake KP na Fina wakaanzisha mgomo.... CMG wakaamuwa kuwatimua wote.....
Kwani ilikuwaje hiyo hadi ikapelekea kufukuzwa kazi?


Sent from my iPhone using JamiiForums


Sent from my iPhone using JamiiForums[/QUOTE]
Kwani ilikuwaje hiyo hadi ikapelekea kufukuzwa kazi?
Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…