ATRACURIUM
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 753
- 918
Hapa nashangaa !kuna mdada anaitwa Phina Mango aliwahi kuwa na Ruge km Miaka 10 Hivi na kuendelea.tena walianzana kipindi Ruge karudi tu toka mtoni US.
Ruge na moka zake nyeupe na suti nyeupe Benzi jeupe namkumbuka mimi miaka yetu Kinondoni analetwa sana uswazi na huyu binti.
Sijui km walizaa ila walikua pamoja mda mrefu tu.phina alijiondokea Kimya kimya na kazi akaacha Faces international kampuni yao wakati ule akaja kuolewa miaka ya juzi hapa na mzungu.
Simuoni hata kusema anamjua jamaa.
Ka move on kimya kimya,hata shobo hana ila anajua kilichompata.
Kilichompataje pataje?Je na yeye Phina Mango tutamsikia yupo South Africa?