Maji kupwa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2019
- 315
- 330
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kama umeitikia tu ili yaishe?
Ila wewe unamuonaje warumi?
Hata mimi nilikuwa sijui kama huyu jamaa ni demu.Kumbe we ni wa kike...ndo maana umbea mwingi...nilikuwa najiuliza huyu mwanaume gan kila saa anapost shudu!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Japo pia anaonekana ana huruma sana, niliona jinsi alivyokuwa anawabembeleza wadogo zake mpk nikajisikia vibaya.Mie namuona wa kawaida tu. Kinachombeba ni jina la baba yake na urithi atakaopewa.
Handsome/Beautiful kweli ni opinion
Tuseme hilo body hujaliona kabisa? Ile sauti je? Huyu mtoto ana haiba zote za kiume kumpagawisha mwanamke yeyote kimtazamoHandsome/Beautiful kweli ni opinion
Hivi huyu ndo handsome wa kufanya mtu apagawe hadi kuandika thread!!?
Kwel uzuri upo machoni pa atazamae
Sent using Jamii Forums mobile app