Mtoto wa Ruge ni shidaa...

Mtoto wa Ruge ni shidaa...

Hapa nashangaa !kuna mdada anaitwa Phina Mango aliwahi kuwa na Ruge km Miaka 10 Hivi na kuendelea.tena walianzana kipindi Ruge karudi tu toka mtoni US.
Ruge na moka zake nyeupe na suti nyeupe Benzi jeupe namkumbuka mimi miaka yetu Kinondoni analetwa sana uswazi na huyu binti.
Sijui km walizaa ila walikua pamoja mda mrefu tu.phina alijiondokea Kimya kimya na kazi akaacha Faces international kampuni yao wakati ule akaja kuolewa miaka ya juzi hapa na mzungu.
Simuoni hata kusema anamjua jamaa.
Ka move on kimya kimya,hata shobo hana ila anajua kilichompata.
 
Handsome/Beautiful kweli ni opinion
Hivi huyu ndo handsome wa kufanya mtu apagawe hadi kuandika thread!!?
Kwel uzuri upo machoni pa atazamae

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuseme hilo body hujaliona kabisa? Ile sauti je? Huyu mtoto ana haiba zote za kiume kumpagawisha mwanamke yeyote kimtazamo

Mweusi, mrefu, kifua sasa, sauti nzito sura sio ngumu saaana wala sio nzuri

Physically ni bonge la dude

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom