Mtoto wa Ruge ni shidaa...

Mtoto wa Ruge ni shidaa...

Binamu kueni na huruma, msiba haujaisha tayari mnataka rambi rambi mzifyatue
 
Huyo wa msiba ndo yule wanasemaga alimtia mimba mwanafunzi wa primary enzi izo anakaa mlimani?
Inawezekana ndo yeye maana uyo jamaa hakosi miaka 30 ya umri...so ukipiga esabu vizuri inawezekana mimba yake ilitungwa wakati mama ake yupo primary school!

Uyo mama travis naye ni msanii ama muuza nyago?
inaweezekana maana walikuaga wanasema ni mtoto wa ujanani.
Mama Travis kwa kweli file lake silijui zaidi ya kujua kazaa na Ruge na ikasemekana mtoto sio wa Ruge japo wakati wa mimba walikua nae
 
Back
Top Bottom