Mtoto wa Ruge ni shidaa...

Mtoto wa Ruge ni shidaa...

Naona wengi tumemuelewa Kijana
He has Manly features

Umeona eeh , mwachi mwanaume bhana , sio kama akina Calisah waramba lipsi, na anaonekana yuko vzur Sita kwa sita, akikubinua huchomoki, aaaah


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huyu kaka muweke yuke Baraka wa dstv muweke na huyu Mwachi alafu weka wanawake 100 waende kwa wanayemfeel..90 wataenda kwa mwachi!unataka kumfananisha mwachi na vitu vya kijinga eh

Achana nae huyo mshamba, makong kodi Ndo tunaelewa vitu vikali


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom