Mtoto wa shule: Anamuuliza babake, et Baba kupata na kukosa kipi bora ?

Mtoto wa shule: Anamuuliza babake, et Baba kupata na kukosa kipi bora ?

Shine

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2011
Posts
11,481
Reaction score
1,372
Mtoto wa shule: Anamuuliza babake,
et Baba kupata na kukosa kipi
bora ?
Baba: Bora kupata mwanangu.
Mtoto: Dah!! Afadhali, nimepata
mimba.
Baba hoi...!!
 
Baba alishakosea ktk kujibu swali, japo inawumaa

of course alikosea kujibu bora kupata mayb hakujua mtt alizungumzia kitu gan
 
Back
Top Bottom